GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,638
Kwenye 6x6 ile milio na miguno ya beats na rhythms za pumps inapendeza sana itambae kwenye flow ..ila isizidishe sana au itoke nje ya key mpiga ngoma anaweza akastuka unamuibia
Akienda slow na wewe kilio kina flow taratibu when he goes high go higher too tafadhari usitoke nje ya key tena nakusihi ina bore.
Raha ya kupiga ngoma uisikie inapokelezwa ikolee pia inapofika bridge kweli kuwe na bridge
Inauma sana mwanaume unajituma halafu mwanamke anakaa kimyaa....kama unaua nyoka na ndio kwanza unaweka mikono usoni huleti ushirikiano ,asikuambie mtu sauti ya miguno inahamasisha bana ,chukulie situation wewe ndio msanii umepanda jukwaa unakata viuno vyako au unafoka foka bongo flavor yako halafu jukwaani limetulia tu tulii....bila mishe mishe za make some noise over there,this side...that side....hii si sawa nakupigiwa boooooo..........lazima show itakuchosha tu
Weekend njema,tafadhari diva uki copy humu hatukukatizi basi atleast u acknowledge kuwa source ni MMU kwa Mwekundu etc
Na siyo miguno yao yote ni Mahaba Kwako bali ya siku hizi mingi ni huwa ya Kukutengeneza / Kukuandaa Wewe Kisaikolojia kutokana na Ubwege wako uje umpe mtonyo / pesa ndefu ukishamaliza mpambano wako wa Kutukuka na eneo ulilopitia / ulilopenyea kuja hapa duniani. Kuguna au Kulia hata Bundi na Mbwa hufanya hivyo ila Kikubwa ni Wewe tu kumfikisha katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro na siyo kumuacha tu kila mara Kibo na Mawenzi.