Nimeuliza hivi kwasababu kuna dada mmoja anasema ana bikra lkn leo kasema anavuja sasa ndo najiuliza bikra nao huwa wana bleed kama siye wenye free hole?
Nimeuliza hivi kwasababu kuna dada mmoja anasema ana bikra lkn leo kasema anavuja sasa ndo najiuliza bikra nao huwa wana bleed kama siye wenye free hole?
Ki taalamu msichana bikra huziona siku zake kama kawaida pale tu anapovunja ungo. Hii ni kwasababu Hymen huwa haifuniki njia yote na kuifunga kabisa bali huwa imeacha "kitundu" kidogo ambacho kinaweza kupitisha damu ya hedhi na uchafu mwingine ambao hutoka katika viungo vya uzazi wa mwanamke. Kwa kawaida viungo vya uzazi vya mwanamke huwa vinajisafisha vyenyewe na hii hufanyika kwa aliye bikra na ambaye siye bikra.
Ukitaka kupata picha halisi ya Hymen au bikra huwa inafanana na kama "lips za mdomo" wakati mtu anapiga "mluzi" hivi, tazama picha hapo chini. Ningeweza kuweka hapa picha halisi ya Hymen lakini kimaadili haitapendeza. Isitoshe pia bikra zinatofauti sana kati ya mwanamke na mwanamke.