Mwanamke auawa, achunwa ngozi Mbeya

Mwanamke auawa, achunwa ngozi Mbeya

mbeya hawabadiliki na mambo hayo kuchunana ngozi...wenyewe wanawaita wanyambudaaa
 
Mbeya, Iringa,Rukwa,Mwanza,Shinyanga,Mara - ni mikoa inayoongoza kwa matukio ya ajabu ajabu nchi hii.
Haya ni baadhi ongezea na mengine unayoyajua wewe:

1. Kuchunana Ngozi
2. Kupigwa nondo za kichwa
3. Kuuwa wazee wenye macho mekundu
4. Imani kali za kishirikina
5. Mapigano ya kikabila/ kikoo
6. Kuuwa Albino na kukata viungo vyao
7. ......................

Hii mikoa yote ina fanana kwa kitu kimoja .....................
 
Taarifa za polisi huwa zna utata sasa, unakaa kwamba sio ushirikina, lakini maelezo yako yote yanatoa picha kuwa ni mambo ya kishirikinaaaa
Sawa andrewk, lakini,
Hata kama ni ushirikina, hauna nafasi kisheria, Sirikali haiamini mambo hayo.
Kinachotakiwa ni uchunguzi wa kina wa mauaji na si kuachia wananchi.
Wao ndiyo wataalamu wa mambo ya uchunguzi na matukio, iweje ukae ukisubili mwanachi akuletee taarifa?
Wapeleke wataalamu wakafanye upelelezi kama inavyofanya kwa taarifa za kusikia za mchange
 
Back
Top Bottom