Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ukiwa na mume yupo badoo andika huna mume

Ukiwa na mke yupo badoo andika huna mke
Huo ndo ukweli badoo umegeuka mtandao kama wa kujiuza hivi

Ukiwa mpenzi wako, bae, dear, honey, boyfriend,girlfriend, yupo kule andika maumivu

Mwanaume wa badoo au mwanamke wa badoo ni wa wengi wala sio wa mmoja au wako peke yako

Halafu badoo kuna wanaume ambao "hawaeleweki" eleweki wanamambo ya 4g
Na wewe uko kundi gani? Maana inaonekana huko ni mwenyeji
 
nipo Badoo mwaka wa nane sasa na sioni chochote kibaya. Umalaya ni sifa ya mtu mwenyewe tu. Badoo, Facebook, instagram, Jamii Forums, Watsap kuna tofauti gani
 
Back
Top Bottom