mwanya2
Member
- Jul 21, 2015
- 94
- 49
Katika ndoa kina swara la kutoa mahari sasa kuna utaratibu wa kuchangia mtu mchango wa mahari ili apeleke ukweni au kutafuta mwenyewe ukapeleka swari
Kijana wa kwanza akatumia nguvu zake na juhudi zake akapata mahari yote bila kupomba au kuchangiwa mahari hiyo na ndugu jamaa na marafiki akapeleka kwao mwanamke.
Kijana wapili akaomba michango ya mahari ili apleke kwao mke akatoa sasa kati ya hao vijana wawili ni yupi ataiheshimu na kuilinda ndoa yake na yupi ataheshimiwa zaidi na mkewe ni yupi atahesgimika zaidi kwa jamii husika?
Karibuni tujadili.