Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,888
kabisa!Hizo kg n nzuri kwa above 30+yrs.
Mazoezi yanahitaji ujitoe kweli kweli vinginevyo kila siku utasema ntaanza kesho.

Wewe ni mwanamke au mwanaume??!Nilimuacha huyo mwanamke kilasiku analalamika hana hela, kilasiku ana mawazo,yaan anakuambia Nina mawazo sana,Sasa kupiga cm MUDA WOTE Cha maana anaongea hakuna,mara umekula ? Kama vile alinipa hela,mara unafanya nini n.k
Akilituma li msg Hilo limoja hilooo,,, nakupenda pekeako, mwanamke wa maisha yangu nasafr na wewe Dunian na Mbinguni,I love you my mama nakupenda sana wewe YAANI li msg kama yupo mahakaman kaambiwa atoe maelezo kuhusu roboti Eunice,
Hiyo msg ataifoward kwenye namba zangu zote, nilimuacha.
Mwanaume gani unandikia msg kama essay huo muda unapata wap?
Hapo kwenye matiti na kitambi umesema kweli 😆😆😆*Unalalamika kama Yeye
*Unaongea sana kama Yeye
*Unaongozwa na hisia kama Yeye
*Una wivu sana kama Yeye
*Huna misimamo kama Yeye
*Una matiti na kitambi kama Yeye
Hivi ni mimi peke angu ambae sijaelewa comment yako?Nilimuacha huyo mwanamke kilasiku analalamika hana hela, kilasiku ana mawazo,yaan anakuambia Nina mawazo sana,Sasa kupiga cm MUDA WOTE Cha maana anaongea hakuna,mara umekula ? Kama vile alinipa hela,mara unafanya nini n.k
Akilituma li msg Hilo limoja hilooo,,, nakupenda pekeako, mwanamke wa maisha yangu nasafr na wewe Dunian na Mbinguni,I love you my mama nakupenda sana wewe YAANI li msg kama yupo mahakaman kaambiwa atoe maelezo kuhusu roboti Eunice,
Hiyo msg ataifoward kwenye namba zangu zote, nilimuacha.
Mwanaume gani unandikia msg kama essay huo muda unapata wap?
Sema tu point jamaa hakua na hela acha kuzunguka zunguka, anyway vipi wewe umekamilika? Hauna kasoro yoyote ambayo jamaa aliipotezea akakupenda jinsi ulivyo?Nilimuacha huyo mwanamke kilasiku analalamika hana hela, kilasiku ana mawazo,yaan anakuambia Nina mawazo sana,Sasa kupiga cm MUDA WOTE Cha maana anaongea hakuna,mara umekula ? Kama vile alinipa hela,mara unafanya nini n.k
Akilituma li msg Hilo limoja hilooo,,, nakupenda pekeako, mwanamke wa maisha yangu nasafr na wewe Dunian na Mbinguni,I love you my mama nakupenda sana wewe YAANI li msg kama yupo mahakaman kaambiwa atoe maelezo kuhusu roboti Eunice,
Hiyo msg ataifoward kwenye namba zangu zote, nilimuacha.
Mwanaume gani unandikia msg kama essay huo muda unapata wap?
Weekend yangu ina anzia hapa🤣🤣🤣Nilimuacha huyo mwanamke kilasiku analalamika hana hela, kilasiku ana mawazo,yaan anakuambia Nina mawazo sana,Sasa kupiga cm MUDA WOTE Cha maana anaongea hakuna,mara umekula ? Kama vile alinipa hela,mara unafanya nini n.k
Akilituma li msg Hilo limoja hilooo,,, nakupenda pekeako, mwanamke wa maisha yangu nasafr na wewe Dunian na Mbinguni,I love you my mama nakupenda sana wewe YAANI li msg kama yupo mahakaman kaambiwa atoe maelezo kuhusu roboti Eunice,
Hiyo msg ataifoward kwenye namba zangu zote, nilimuacha.
Mwanaume gani unandikia msg kama essay huo muda unapata wap?
We nawe hueleweki mwanzo wa uandishi ume act kama mwanaume mwisho kama mwanamke oyaa unaZinguaNilimuacha huyo mwanamke kilasiku analalamika hana hela, kilasiku ana mawazo,yaan anakuambia Nina mawazo sana,Sasa kupiga cm MUDA WOTE Cha maana anaongea hakuna,mara umekula ? Kama vile alinipa hela,mara unafanya nini n.k
Akilituma li msg Hilo limoja hilooo,,, nakupenda pekeako, mwanamke wa maisha yangu nasafr na wewe Dunian na Mbinguni,I love you my mama nakupenda sana wewe YAANI li msg kama yupo mahakaman kaambiwa atoe maelezo kuhusu roboti Eunice,
Hiyo msg ataifoward kwenye namba zangu zote, nilimuacha.
Mwanaume gani unandikia msg kama essay huo muda unapata wap?
Mimi ni she and heWewe ni mwanamke au mwanaume??!
I don't knowSema tu point jamaa hakua na hela acha kuzunguka zunguka, anyway vipi wewe umekamilika? Hauna kasoro yoyote ambayo jamaa aliipotezea akakupenda jinsi ulivyo?