Mwanamke asiyejua kupika ni mzee baba

Mwanamke asiyejua kupika ni mzee baba

atapika wali au hiyo chai aloomba??? Loh ya rabbi nimekua mbea
we're kuwa mbea sishangai ..ndio silka ya wanawake wa pwani umbea kwao sio sunna tu " wameufaNya kuwa faradhi kabisa..

kwanza nitataka Aanze kupika chai ikikosa viungo na jua hapa .. nimeingia cha kina Madame S
 
hahahaha tena upate chai ilokamilika viungo waweza inywa chupa nzima

Kumbe umbea umefaradhishwa kwetu eeeh
 
hahahaha tena upate chai ilokamilika viungo waweza inywa chupa nzima

Kumbe umbea umefaradhishwa kwetu eeeh
Hahaa nyie wanawake wa pwani acha kabisaa '' umbea nyinyi ..mahabati pia nyinyi " ukimpata bwana toka bara lazima akususie Hati ya nyumba''...

mtu anakaliwa kifuani katikati ya mchezo '', mpaka washangaa jitu zima linaanza kuita Maji Mma"...
 
Back
Top Bottom