mwanamke asiyejitambua.

mwanamke asiyejitambua.

Alafu nahisi wewe ni mwanamke kazi ipo kama wewe ni ke jibu unalo wewe mwenyewe kwa post yako hii
 
haelewi haki, wajibu na majukumu yake kama mwanamke. Hajielewi afanye nini, wapi na lini
 
Mpaka uwe unajitambua kwanza ili umtambue asiejitambua. Maana safari ya kujitambua si fupi kwa yeyote
 
Yupoyupo tu yani hata jinsia yake haijui.....
 
Mwenye mtazamo tofauti na wako, unavyoona wewe ni muhimu yeye haoni umuhimu wake; ndio maana unatumia vipimo vyako katika kupima utambuzi wake.

CCM wanaona UKAWA hawajitambui, na UKAWA wanaona CCM hawajitambui.
 
Mwenye mtazamo tofauti na wako, unavyoona wewe ni muhimu yeye haoni umuhimu wake; ndio maana unatumia vipimo vyako katika kupima utambuzi wake.

CCM wanaona UKAWA hawajitambui, na UKAWA wanaona CCM hawajitambui.

Exactly....smart wife for me here
 
Heaven on Earth mwanaume anayejitambua ni yule anayejali.kuthamini, kukuwakilisha na zaidi yule aliye tayari kukutetea na kukupigania aidha kwa kupingana na watu wanaokusema vbaya na kusapoti pale unaposemwa vzuri, Haitoshi yule anayejua majukumu yake ya msingi ya kiume na kuyasimamia kwa msimamo uleule bila kuyumba kubwa mwanaume anayejitambua atakuambia upo wrong pale utakapokosea ili kukujenga na kukuimatisha.
 
Kujitambua ni neno pana sana labda uwe specific kujitambua kwenye nini
 
Duh! Hii ni hot topic! Watu wengi kweli hawajitambui/ hatujitambui, twafuata mkondo wa maji tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom