Mwanamke apatikana hai kwenye vifusi Nairobi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma.

Idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 33.

Watu 80 kufikia sasa bado hawajulikani walipo.


Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom