Mwanamke anayekuhonga

Mwanamke anayekuhonga

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,078
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;

1. Anakupenda?

2. Anakujali?

3. Anakuzuga tu?

4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu?

5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?

Majibu yenu muhimu.
 
Simn kwenye kuongwa bali naamn kwenye kusaidiana
 
Kuna mmoja huyo anuza duka la vitu mbalimbali vya nyumbani basi kanizimikia anavyonionga balaa...
Mikate, bluebend.maziwa,sukari,mchele,unga n.k
sasa nna mpango wa kuanza kumkwepa maana amezidisha manjunju ya kunionga teh teh teh.... alaaaaah kupenda gani huku....:teeth:
 
Yote uliyoyaweka hapo yanawezekana. Pia anaweza kuwa anakuona maskini, usiejitegemea, usie na direction ya maisha so anajaribu kukusaidia kama mtu usieweza kujitegemea.
 
Yote uliyoyaweka hapo yanawezekana. Pia anaweza kuwa anakuona maskini, usiejitegemea, usie na direction ya maisha so anajaribu kukusaidia kama mtu usieweza kujitegemea.

Uso wa nyoka Hivi ni kweli inawezekana?
 
Last edited by a moderator:
Uso wa nyoka Hivi ni kweli inawezekana?

Lipi unalohoji mkuu? Yote uliyoyaweka hapo yanawezekana na hata Niliyoongezea yanawezekana pia. Kama mwanamke akihitaji ndoa, akapata mtu asie na vigezo vinavyojitosheleza, wengi huwa wanawapimp ili wafikie standards zinazotakiwa, labda tu huyo mwanamke asiwe na uwezo wa kufanya hivyo.
Anaweza asimwambie Mwanaume anaehusika kuwa standards zake ni wanting, lakini atakuwa akimfanyia visurprise vya kijanja vyenye lengo la kumboost huyo mwanaume.
 
Last edited by a moderator:
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha Kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?

Majibu yenu muhimu

2_Huonyesha kukujali.
 
Back
Top Bottom