unajua mkulu hoja hapa iko hivi....Ngoja mdogo wetu Teamo aje atueleze. Kwamba kwenye briefcase anazo zaidi ya 100m za EPA halafu anaburuzwa ki-Bushoke Bushoke tena bila kupigwa shuntama (Limbwata)i!!
unajua mkulu hoja hapa iko hivi....
kwamba Re: Mwanamke anayejiweza kimaisha
kwamba huyu mwanamama ndo baasi tena KUOLEWA?....
lakini hoja ya senti roya kwamba uwe na hela AGAIN UWE WEAK!hiyo mi sikubali!kwasababu katika hali ya kawaida kabisa hiyo haiwezi kuwa ndoa wala mapenzi
Hivi bado mnabishana tu?
We bana kama unataka mambo yako yakuendee hovyo we kajiolee mwanamke aliyekuzidi kipato, elimu na/au umri. Hii ni kwa Mujibu wa uzoefu, hakuna cha findings, journals wala scientific proof hapo.
Haya hebu twendeni kule tukapige kampeni Chat Room irudishwe.:fencing:
Wandugu za leo,
Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa kuolewa) utamuoa hata kama wewe huna thamani ya kiuchumi aliyo nayo?
Sasa wanaume utamuoa tu huyo dada hata kama wewe hali yako si fresh? na wadada utakuwa bread provider kwa huyo mumeo? mapenzi yana nafasi yake na pia uwezo kiuchumi una nafasi. zamani haikuwa hivi lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanabadilika
unajua mkulu hoja hapa iko hivi....
kwamba Re: Mwanamke anayejiweza kimaisha
kwamba huyu mwanamama ndo baasi tena KUOLEWA?....
lakini hoja ya senti roya kwamba uwe na hela AGAIN UWE WEAK!hiyo mi sikubali!kwasababu katika hali ya kawaida kabisa hiyo haiwezi kuwa ndoa wala mapenzi
Haya hebu twendeni kule tukapige kampeni Chat Room irudishwe.:fencing:
:boxing::boxing::boxing::fencing:
:boxing::boxing::boxing:
mkuu mimi naona kama sijakosea kabisa tafsiri........!Teamo, hilo do lilikuwa swali la JS. Na jibu tumempatia kuwa ni "BIG NO"
Mkuu, you got it wrong. Kwa hiyo toa jibu sasa kama swali umelielewa!:eyeroll2:
:argue::argue::argue::laser:
BUK, sidhani kama kuna mwanaume (kati ya wale waliotoa michango yao) amesema/kuonesha kuwa anapenda amke wake aache kazi. Hapo unajaribu kupindisha mada kuu inayojadiliwa hapa. Swali ni kuwa, mwanamke anayejiweza anapata shida kuwapata wanaume wa kumuoa? Na baadhi yetu (tena wengi tu) tumesema ndiyo na tukatoa vielelezo, ikiwemo uzoefu wetu na tafiti za kisayansi. Pia hapa hakuna suala la insecurity kama anavyosema Noname. Suala ni preferences za wanaume, na kwamba walio wengi wangependa kumuoa mwanamke asiyewazidi kipato. Maisha ya ndoa yanakuwa na furaha kama wahusika wanafurahia maisha yao na ndio maana kila jinsi (gender) inakuwa na vitu vyake inavyoviangalia na pia kila mtu anazo tastes zake.
suala la insecurity lipo kwa sababu mwanaume anakuwa hajiamini na anamuogopa mwanamke anae mzidi income or education.. tabu inakuwa siyo pesa wala elimu..tatizo mwanaume anajiona dhaifu (or powerless) na hiyo ndio inaweza kusababisha matatizo kwenye relationship....mie niliwahi kuwa na relationship na mwanaume who earned less than me..so i know the problem...ilikuwa tabu manake kila small or big argument lazima alete tuu hii issue... " si unajiona unapesa ndio maana unafanya hivyo" au umejiona umekuwa manager ndio mie sifai tena" come on that is not the issue....:confused2:
We bana kama unataka mambo yako yakuendee hovyo we kajiolee mwanamke aliyekuzidi kipato, elimu na/au umri. Hii ni kwa Mujibu wa uzoefu, hakuna cha findings, journals wala scientific proof hapo.:
BUK, sidhani kama kuna mwanaume (kati ya wale waliotoa michango yao) amesema/kuonesha kuwa anapenda amke wake aache kazi. Hapo unajaribu kupindisha mada kuu inayojadiliwa hapa. Swali ni kuwa, mwanamke anayejiweza anapata shida kuwapata wanaume wa kumuoa? Na baadhi yetu (tena wengi tu) tumesema ndiyo na tukatoa vielelezo, ikiwemo uzoefu wetu na tafiti za kisayansi. Pia hapa hakuna suala la insecurity kama anavyosema Noname. Suala ni preferences za wanaume, na kwamba walio wengi wangependa kumuoa mwanamke asiyewazidi kipato. Maisha ya ndoa yanakuwa na furaha kama wahusika wanafurahia maisha yao na ndio maana kila jinsi (gender) inakuwa na vitu vyake inavyoviangalia na pia kila mtu anazo tastes zake.
Are you kidding me?? This is unbelievable.:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:Kuna mdada alijifukarisha baada ya kuona hapati mchumba. Aliuza gari lake, nyumba na mali nyingine ili apate mchumba!
Haya mambo ni magumu jamani tusifanye mzaha.Ila binafsi sitamshauri mdada ajifanye maskini kisa kakosa mwanaume. Kama alivyosema Boss hapo juu, inategemea mtu na mtu. Wapo wenye uchache na hawaoni kama ni ishu.Inapokuja mahusiano, huwa tayari kupenda kwa misingi ile ile ambayo ingetawala uhusiano hata pale hakuna mali wala nini.
Hebu nipe contacts zake ASAP........Mhhh inawezekana kuna kaukweli fulani kwamba mwanamke ukiwa na pesa/mali kupata mwanaume makini wa kutangaza nia kazi. Sio kwamba hupati wanaume kabisa hapana, wanaume watakuja kwako lakini wengi wao wanaogopa wakiona binti amejitosheleza kwa kila kitu.
......Kuna mdada naye hivyo hivyo umri wake sasa ni 35, ana kazi nzuri kwenye shirika kubwa na mshahara mzuri, usafiri wa maana na nyumba yake ya maana lakini masikini hapati mwanaume wa kumuoa........mwenyewe utakuta analalamika tena anasema kabisa watoto wadogo mnaolewa lakini yeye hapati mume.Yaani huyu mdada ana tabia nzuri na mpole lakini wanaume wanamuogopa kwa uwezo aliokuwa nao. Labda siku moja atakuja kupata mume mie huwa namuonea huruma.
Hell NOOOOOOOO. We kama una mshiko mbona wa kukuoa wapo wengi tu wala huachi kitu. Ila kumbuka mtii mumeo.:thumb::thumb::thumb:kwahiyo mwanamke aache kila kitu kwa ajili ya kuolewa au just to help guys with their insecurity problem?
Kwa hiyo itakuwaje utakuwa unamegwa megwa tu au?..........Just curious.aaah jamani kama ndo hivyo hiyo ndoa nisiipate tu