Nimekosa vigezo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wajane,single mothers na warembo wengine kazi kwenu
Angeona umbo lako angeongeza na kigezo ili uingie kwny listNimekosa vigezo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umbo lako likoje?!Kwenye kipaumbele ndipo nilipoanguka
Kama paja la kuku [emoji26][emoji26][emoji26]Umbo lako likoje?!
Ila jamaa yupo serious, Mungu ampe hitaji la moyo wake.Angeona umbo lako angeongeza na kigezo ili uingie kwny list
Aniulize mm nliyeona picha yako
Kumbe paja la kuku tu....mm nlidhani labfa upo kama yule dada alisemwa na mbashaKama paja la kuku [emoji26][emoji26][emoji26]
Wewe ndio unachukulia kirahisi, ila huenda huko PM kwa jamaa kumejaaMkuu hapa jf ujumbe kama huu unachukuliwa ki rahisi sana!
Dawa ni kuingia mtaani tu, kama huna muda wa kutosha, watumie ndugu zako.
Ahahahaaaaaa mtumishi amechoshwa na ya walimwengu.Kumbe paja la kuku tu....mm nlidhani labfa upo kama yule dada alisemwa na mbasha
Ukishaona tumbo limekatika mara 3 inabidi uchukue hatua za haraka sn kurekebisha mwenendo wako wa maishaAhahahaaaaaa mtumishi amechoshwa na ya walimwengu.
Weka picha mkuu tujiridhisheNimekosa vigezo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ila Ney una maneno hatari[emoji3] [emoji3]Kama paja la kuku [emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukishaona tumbo limekatika mara 3 inabidi uchukue hatua za haraka sn kurekebisha mwenendo wako wa maisha
Vigezo shidaWajane,single mothers na warembo wengine kazi kwenu