Mwanamke anapenda ubabe sio mayai mayai

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
705
1,070
Habari wana JF

Katika viumbe ambao nawasoma saikolojia yao iliyowashinda wanasayansi ni mwanamke.kwanza kabisa
1. Mwanamke hajui anataka nini hapa duniani
2. Anapenda sana wanaume wababe na wakatili
3. Anapenda zawadi ndogondogo
4. Biblia imeandika tuishi nao kwa akili
5. Anaweza kukupenda ama kukuchukia bila sababu
6. Ukimjali sana anakudharau
7-10. Naomba wanasaikolojia mmalizie kwenye comment

Stay at home
 
7. Upendo kiasi.
8. Kumjali
9. Kumtimizia mahitaji yake.
10. Kumlinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe uhakika wa kuishi kwanza; malazi,mavazi,chakula,na afya; hapo akikuona tu ata kama utakuwa umbali wa 5km lazima kule chini alowane.
 
Tatizo la wanaume wa Dar es salaam mna tabia kama za wanawake na ndiyo maana wanawake wenu wanawadharau sana.
 
Mwanamke anapenda undefined man. Ila pesa muhimu iwepo pia,ili kupata mazingira ya kufurahia maisha.
 
Habari wana JF

Katika viumbe ambao nawasoma saikolojia yao iliyowashinda wanasayansi ni mwanamke.kwanza kabisa
1. Mwanamke hajui anataka nini hapa duniani
2. Anapenda sana wanaume wababe na wakatili
3. Anapenda zawadi ndogondogo
4. Biblia imeandika tuishi nao kwa akili
5. Anaweza kukupenda ama kukuchukia bila sababu
6. Ukimjali sana anakudharau
7-10. Naomba wanasaikolojia mmalizie kwenye comment

Stay at home

Kuna bwana mmoja aliwahi kutoa mfano, ninaunukuu!!

"Unaweza kumnunulia mwanamke gari la kifahari labda BMW X5 mpyaa, ukaigharamia service na ukampa fedha ya mafuta ya kila mwezi na matumizi mengine. Wakati anajaza mafuta, hapo petrol station anajitokeza Muungwana anamuongezea mafuta ya shs 20,000 tu! Tayari atasahau yote uliyomfanyia na kumuona muungwana ni wa maana sana kiasi cha kuwa wewe hufai tena!"

Naamini huu mfano, utawaonyesha picha halisi
 
Habari wana JF

Katika viumbe ambao nawasoma saikolojia yao iliyowashinda wanasayansi ni mwanamke.kwanza kabisa
1. Mwanamke hajui anataka nini hapa duniani
2. Anapenda sana wanaume wababe na wakatili
3. Anapenda zawadi ndogondogo
4. Biblia imeandika tuishi nao kwa akili
5. Anaweza kukupenda ama kukuchukia bila sababu
6. Ukimjali sana anakudharau
7-10. Naomba wanasaikolojia mmalizie kwenye comment

Stay at home
Uko sahihi kabisa na hiyo ya kumpenda sana akakudharua nina shuhuda zisizo na idadi.
 
Mpe uhakika wa kuishi kwanza; malazi,mavazi,chakula,na afya; hapo akikuona tu ata kama utakuwa umbali wa 5km lazima kule chini alowane.
Haya huwa yanadumu kwa muda tu. Wakishayazoea huwa wanatafuta mengine. Na ushahidi upo wa wanawake kisaliti pamoja na kutimiziwa hayo yote. Mi narudi kwa mleta mada kuwa wanawake hata kama unampa hivyo vyote hawapendi mwanaume anayejali kupiliza (nice guy).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom