Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Mimi huwa napenda sana mwanamke anapokasirika ili baadae nianze kumbembeleza, yaani hata akasirike vipi na machozi yake baadae anaanza kutabasamu na kucheka mwenyewe.
Kwa upande wangu huwa naona Raha sana
Heheee daah akyamungu!!