ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 97
ukitoka kazini uwe unampakata...unamuogesha....hakikisha akinya unamchamba.....hapo atajiona yupo peponi...
We piga usepe utamdekeza mke wako kwanza wanawake wa siku hiz waongo usipoteze muda ndugu yangu siku hizi tukipendana leo tunamalizana leo leo
ukitoka kazini uwe unampakata...unamuogesha....hakikisha akinya unamchamba.....hapo atajiona yupo peponi...
eeh bado unadekeza
[h=1]Kudeka/ Kudekezwa[/h]started by Nyani Ngabu (current status-banned)Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila mwanamke ninayekuwa naye huwa ananilalamikia/ananiambia nina tatizo moja kubwa et sijui kudekeza!!!
Sasa leo nimeona imekuwa too much nimeamua nijifunze, wakuu naomba mnisaidie kunifundisha namna ya kumdekeza mwanamke please.
Nitashukuru saaaana kwa msaada wenu.
ahahahaaaaa kazi ipo
Pole,ila waulize wasukuma wanajua maana yake.
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila mwanamke ninayekuwa naye huwa ananilalamikia/ananiambia nina tatizo moja kubwa et sijui kudekeza!!!
Sasa leo nimeona imekuwa too much nimeamua nijifunze, wakuu naomba mnisaidie kunifundisha namna ya kumdekeza mwanamke please.
Nitashukuru saaaana kwa msaada wenu.
MankaM, kwan wewe hujui nyie wanamke mnapenda kudekezwaje?!