Mwanamke ambaye sio malaya

Mwanamke ambaye sio malaya

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,714
Kwa experience niliyonayo kwa umri wangu kuna wanawake aina mbili

1. Malaya- hawa ni wale ambao hawana adabu na sehemu zao za siri na ukioa mwanamke wa hivi kukusaliti mkiwa kwenye ndoa ni kitu cha kawaida

2. Waaminifu - Hawa ni aina ile ya mwanamke ambaye ni mwaminifu tangu akiwa kijana kwenye mahusiano na hata baada ya kuolewa

But

Hawa wanawake wana tatizo moja- huwa ni ngumu sana kumvulia mwanamme mpya nguo yake(wanaheshimu sehemu zao za siri kuliko kawaida/kwao ni aibu sana na ndio sababu yao kuwa waaminifu)

Hawa tatizo lao ni pale utakapotofautiana nae mkiwa kwa ndoa( kugombana kawaida au kumnyanyasa au kukufumania unamsaliti au kuwa na tabia ya kumsaliti mara kwa mara) anaweza kukuvumulia kutokana na tabia zako weee kwa sababu hawezi kuanzisha mahusiano mapya anaona aibu na si heshima kwake kumvulia kila mtu nguo

Sasa hawa huwa ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa endapo watakutana na ex wao (ni wagumu sana kwa mwanaume mpya but kwa mwanaume ambaye anaujua uchi wake ni mwepesi sana hasa kama kuna vitu alikuwa anapata kwa huyo mwanaume ambacho hapati kwako au kama haumpi furaha kwenye ndoa.

Wanaume wenzangu mwogope saaaaana ex wa mkeo kuliko mwanamme mpya anayemtongoza(bora ukute anachart anatongozwa na mwanaume mpya kuliko kukuta hata wanapeana “hi” na ex
 
Hivi mwanamke anayejiheshimu na kuheshimu sehemu zake za siri anakuwaje na x- boyfriend/husband???

Malaya ni malaya tu iwe Afrika hata ulaya( naimba tu) wimbo wa mwanamuziki jina limenitoka

Hahahha ili asiwe na ex awe sealed na kumpata wa hivyo labda mbinguni
 
kila mtu ni ex kwa mtu wa mwengine swala linakuja wewe na huyo ex mkoje ni ujinga kua na mawasiliano na ex tena hatarishi labda kuwe na mtoto kati kati ambae atawafanya muwasiliane kwa ajili yake nayo pia mawasiliano yahusu mtoto tu s vinginevyo
Wapo watu ambao hawana ma-x ila ni wachache sana. Mwanamke hajafanya ngono hadi anaolewa na kuanza mapenzi na mumuwe na mwanaume pia hivo hivo. Hawa sio malaya kwakuwa wanajuana wao tu kama mke na mume lakini ikishakuwa mtu ana kinachotambulika kama x tyr anaingia kwenye kundi la malaya tu. Vinginevyo labda huyo anayetambulika kama x alishatangulia mbele ya haki
 
Kwa experience niliyonayo kwa umri wangu kuna wanawake aina mbili

1. Malaya- hawa ni wale ambao hawana adabu na sehemu zao za siri na ukioa mwanamke wa hivi kukusaliti mkiwa kwenye ndoa ni kitu cha kawaida

2. Waaminifu - Hawa ni aina ile ya mwanamke ambaye ni mwaminifu tangu akiwa kijana kwenye mahusiano na hata baada ya kuolewa

But

Hawa wanawake wana tatizo moja- huwa ni ngumu sana kumvulia mwanamme mpya nguo yake(wanaheshimu sehemu zao za siri kuliko kawaida/kwao ni aibu sana na ndio sababu yao kuwa waaminifu)

Hawa tatizo lao ni pale utakapotofautiana nae mkiwa kwa ndoa( kugombana kawaida au kumnyanyasa au kukufumania unamsaliti au kuwa na tabia ya kumsaliti mara kwa mara) anaweza kukuvumulia kutokana na tabia zako weee kwa sababu hawezi kuanzisha mahusiano mapya anaona aibu na si heshima kwake kumvulia kila mtu nguo

Sasa hawa huwa ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa endapo watakutana na ex wao (ni wagumu sana kwa mwanaume mpya but kwa mwanaume ambaye anaujua uchi wake ni mwepesi sana hasa kama kuna vitu alikuwa anapata kwa huyo mwanaume ambacho hapati kwako au kama haumpi furaha kwenye ndoa.

Wanaume wenzangu mwogope saaaaana ex wa mkeo kuliko mwanamme mpya anayemtongoza(bora ukute anachart anatongozwa na mwanaume mpya kuliko kukuta hata wanapeana “hi” na ex
Ukikuta hivo ujuwe amemumis ex wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom