Mwanamke ambaka dereva wa teksi Marekani

Hiki ni kituko. Jamaa alifaidi halafu analalamika.
 
Napata hofu na wanaume wa US hawa wanaobakwa wakija Dar wakakutana na wale watoto wa panya road mbona watabakwa na bisibisi na nyembe
 
huyo dada aende pale JKIA atabaka na kupelekwa anapotaka bure kabisa

hiyo dola 32 kwa pesa ya madafu huku kama elfu 60+
 
Mwanamme anabakwaje? Kwani law of nature mwanamme lazima asimame kwanza nahisi kama na yeye alikubali kubakwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…