Tangazo langu la mwanzo Mods sijui walilifuta!!!
Nahitaji mwanamke aliyetayari kuzaa mtoto/watoto Nami.
Nitatoa huduma zinazohitajika.
Nimeoa, hivyo asiwe na mawazo ya mume wa peke yake.!!
Vigezo na mengineyo tutaelewana PM.
NB: usije kunijaribu au kutaka kujua tu mimi ni nani tafadhali.
Asanteni.