Mwanamke aliye tayari tu

Mwanamke aliye tayari tu

Umepata degree ya maisha, hata kutafuta mwanamke haujui, vyooooooo! elimu ya tanzania naomba ikazikwe tu.

hahaha! Mkuu lakini mm simlaumu coz kuwa na degree ni issue moja na kutafuta mke ni issue nyingine, kwa sasa unataka kusema kuwa, sisi wenye degree ndoa hazivunjiki...!!
 
hahaha! Mkuu lakini mm simlaumu coz kuwa na degree ni issue moja na kutafuta mke ni issue nyingine, kwa sasa unataka kusema kuwa, sisi wenye degree ndoa hazivunjiki...!!

Tatizo anasema ana degree ya maisha!! vyoooo.
 
Back
Top Bottom