Mwanamke akutwa na risiti ya lodge

Mwanamke akutwa na risiti ya lodge

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,881
Bibie mmoja yamemkuta sasa kwenye ndoa,aliaga December anakwenda Zanzibar,kapelekwa mpaka Bandarini kiasi Kubwaa amerudi nyumbani mume.

Anashika novel anaona risiti za malipo ya Lodge ya Mbeya two weeks. Ukisoma tarehe kaingia nextday siku alioagwa bandarinii saivi mkituaga tutakua tunaomba na tiketi zenu na reserve mlizofanya kwa ajili ya malazi.

 
Two weeks!!Jamaa alifaidi, hapo ni taraka hakuna majadiliano
 
hahaa two weeks ?
Huko mbeya alinogewa..
yaani mate hizinanio sijui tuzifungaje??kesho wakijua tunaitqji tkt watakata zq boti na bado wakaenda mbeya we siunqtaka rcpt...tena za reserv kwa ajiliya malazi wanqchukulia billicanas kwa wanaume wenzetu loh...j
 
Ingekuwa simjui ningemjibu wacha wafuwazikewafu.....loh
 
Hivi realmadridronaldo wanacheza saangapii,,,,msishangae hii raisi wa Madrid ameomba bodi iruhisi jinala ronaldokuwepo umapotamka REALMADRID,,,
 
Umeona MKUU nishioda
 
yqqniNomaa nisheeedqqqPdidY wikimbiliNyingiiii etiMtumishi
 
Alienda kikzai labda, kwa sababu hata hiyo ni kazi pia.
 
Unaandika vibaya sana mkuu. Uandishi wako unakera sana
 
Back
Top Bottom