supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Pia sio mke wala mchumba, ni mpnz tu[emoji41][emoji41]Hapo inategemea ntu na ntu
Ni kama ilivo kwa wanaume..mwingine anaomba msamaha na anabadlika kabisa...lakini mwingine ndo tabia yake habadiliki....ndo maana nkasema inategemea ntu na ntuPia sio mke wala mchumba, ni mpnz tu[emoji41][emoji41]
Kwa hyo hapo ni kuomba tu Mungu...kuona kama itatokea tenaNi kama ilivo kwa wanaume..mwingine anaomba msamaha na anabadlika kabisa...lakini mwingine ndo tabia yake habadiliki....ndo maana nkasema inategemea ntu na ntu
Mh....Binaadamu nature yake ni mabadiliko. . .
Kwa io kama aliweza kubadilika miaka mitatu ilopita akaanza ku-cheat, uwezo wa kubadilika akaacha upo pia
Kwamba ni-move on???Jiongeze
Kusema ukwel namm ndo kinachoniumiza kichwa coz walikuwa wanashiriki kila kitu cha mapenz...na wakat huo mm npo wilaya nyingine ila najitahidi sana kumtembelea at least every weekend...halaf mbaya zaidi jamaa linanijua vzurthree years alikua kaolewa kabisa huyo mabadiliko yako kwenye nafsi yake moyoni
[emoji15] [emoji15]%1 kwenye %100
Kwa kwel hana jibu maana hata yeye anaonesha kujuta...nilimbana akanambia hajui anahisi alirogwa...Inategemea kwanini alikusaliti....!
Kama ni Tabia Basi ujue haina dawa
NmekuelewaAwe mwanamke au mwanaume, once a soldier, always a soldier. Akili mkichwa.
Moja katika kumi "huenda" asi cheat tena!
Hamna kitu hapo....Kwa kwel hana jibu maana hata yeye anaonesha kujuta...nilimbana akanambia hajui anahisi alirogwa...
Poa mkuu....thnxHamna kitu hapo....
Ukiona vema tafuta mwingine