Simfundishi mtu apo ayo ni maoni yangu atakae yaona yanamfaa achukue atakae yaona gozi gozi ayaacheKwahiyo unatufundisha..
As i say we fanya mambo yko ila km unaweka status kwa show off inaweza kukurudia maana na yy uko alipornda anafanya nn yawezekane ni kimada wa wazirMambo ya kuweka status tena!! Hii mipango tunaendaga nayo kimya kimya na sio lazima kila siku ushinde wewe, timu pinzani ikikuzidi mipango napo unatulia tu.
Kimya vp? Wakati yeye ndo kaanza kuwa kimya?Kifupi ni kwamba piga kimya,maana KIMYA PIA NI JIBU,,
We ndo mwenye akiliMambo ya kuweka status tena!! Hii mipango tunaendaga nayo kimya kimya na sio lazima kila siku ushinde wewe, timu pinzani ikikuzidi mipango napo unatulia tu.
Yaani wewe kuwa kimya zaidi yake ,ukikumbuka mazuri yake yapotezee japo roho itakuuma,mwisho wa picha lazima aombe poo maana alitarajia utaweweseka juu yake ,sasa ikiwa tofauti na matarajio lazima yeye aumieKimya vp? Wakati yeye ndo kaanza kuwa kimya?