Mwanamke akianza dharau, achana naye

Mwanamke akianza dharau, achana naye

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana jamvi wa MMU. Natumai ni wazima wa afya.

Kuna jambo moja la muhimu Sana, no ukwel usiopingika kwamba kwenye mahusiano kuna mabonde na milima.lakini ukiona mwanamke (mpenzi wako) kaanza dharau za hapa na palee juaa hapo tayaarii hakuna jambo, japo wengine huwa wanapima upepo wakuone utafanya nini.

Dharau ni kitu kibaya Sana nakushauri kabla halijakukuta jambo ambalo hata wajukuu zako utashindwa kuwasimulia ni bora uachane tu na huyo manzi.

NB: Sometimes makofi mawili matatu yanasaidia.
 
MWANAMKE MPKA ANAKUDHARAU BASI HUMTUNZI WALA KUMUHUDUMIA VIZULI

MWANAMKE SIKU ZOTE UKIWA UNAMTUNZA VIZULI UNAMUHUDUMIA VIZULI POCHI IKO VIZULI HAWEZI KUKUDHARAU
Ni kweli kabisa bila pesa hawa viumbe watakudharau ingawa pia hiyo sio sababu pekee ya kukudharau huwa hawaeleweki nini wanataka. Ukitaka heshima toka kwao ni mfumo dume tu ndio jibu.
 
MWANAMKE MPKA ANAKUDHARAU BASI HUMTUNZI WALA KUMUHUDUMIA VIZULI

MWANAMKE SIKU ZOTE UKIWA UNAMTUNZA VIZULI UNAMUHUDUMIA VIZULI POCHI IKO VIZULI HAWEZI KUKUDHARAU
KwelI unakuta ME family hutunz, pesa so mtaftaj alaf untaka heshma..... Seriously itatoka wap hyo heshma!
Hamna ME resposble anadharaulwa
 
MWANAMKE MPKA ANAKUDHARAU BASI HUMTUNZI WALA KUMUHUDUMIA VIZULI

MWANAMKE SIKU ZOTE UKIWA UNAMTUNZA VIZULI UNAMUHUDUMIA VIZULI POCHI IKO VIZULI HAWEZI KUKUDHARAU
Huyu umemkusudia kuwa ni Mke au Mpenzi ambaye yupo kwao?
 
MWANAMKE MPKA ANAKUDHARAU BASI HUMTUNZI WALA KUMUHUDUMIA VIZULI

MWANAMKE SIKU ZOTE UKIWA UNAMTUNZA VIZULI UNAMUHUDUMIA VIZULI POCHI IKO VIZULI HAWEZI KUKUDHARAU

Sio lazima iwe hivo...

Inawezekana umejitahidi ukamuwezesha.

Akiishashika noti na kujimudu kimaisha dharau inakuja....

Pia wengine watoto wakiishakuwa wakubwa

Jipange
 
mwanamke akishaanza dharau ata makofi hayasaidii

Niko kwene mkakati kupanga kuwafanyia kitu ambacho kitawaumiza milele maana kifi.r.o tu hakitoshi
Huwezi wekeza nguzu zako, pesa zako na muda wako..kuwaumiza wengine alafu ukabaki SALAMA....

Yatakayo kupata inaweza isiwe Leo Wala kesho..USIJE shinda kwa Mwamposa unaimba Mungu Wangu Mungu Wangu..mbona umeniacha...

MAMBO MENGINE YAACHE YAPITE...
 
MWANAMKE MPKA ANAKUDHARAU BASI HUMTUNZI WALA KUMUHUDUMIA VIZULI

MWANAMKE SIKU ZOTE UKIWA UNAMTUNZA VIZULI UNAMUHUDUMIA VIZULI POCHI IKO VIZULI HAWEZI KUKUDHARAU
Unazaje kumadharau mwanaume Anaejielewa?..How? Where? What? Which? When?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom