Mwanamke akatwa kichwa kwa tuhuma za kwenda madukani bila mumewe

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,414
Mwanamke mwenye umri wa miaka 30 amechinjwa kwa kukatwa kichwa baada ya kutuhumiwa kwamba alikwenda kununua vyakula madukani bila kuandamana na mumewe kule Afghanistan. Ni marufuku kwa mwanamke kuhudhuria masomo ya dunia au kuajiriwa kazi kule, unapigwa risasi au kuchinjwa moja kwa moja.

Yaani ni marufuku kwa mwanamke hata kutoka nje ya nyumba bila kuandamana na mwanaume ambaye wana undugu naye au mumewe.

===================================
01A6529C0000044D-4070100-image-m-17_1482913430234.jpg

The 30-year-old woman was reportedly beheaded after going shopping alone (file photo)

A woman has reportedly been beheaded by a group of armed men in Afghanistan after she entered a city without her husband.

The horrific act took place in the remote village of Latti in Sar-e-Pul province, which is under Taliban control.

Provincial Governor spokesman Zabiullah Amani told the Nation that the 30-year-old woman was targeted because she went out alone without her husband, who is in Iran.



Read more: Woman beheaded in Afghanistan for entering a city without her husband | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Amepata haki yake kwa mujibu wa dini yake. Allah (sw)amweke anapostahili
 
Hakuna kitu kama hicho ktk Uislamu, bali hizo ni propaganda na maigizo za wale makulumbembe ili kuhadaa walimwengu wasiojielewa ili wauchukie Uislamu. Na kutaka kuuchafua Uislamu vilevile.
Lakin mkuu hata Saudi Arabia tu wanawake si wanakatazwa kuendesha magari?, au na hii ni propaganda maana hili nilishuhudia mwanamke akikamatwa na police akiwa anaendesha gar. Sasa niambie din inazuia kuendesha gar?, na magari yalikuwepo enz za mtume?
 
It might be propaganda ila kuna execution zinafanyika kweli...

Waafrika na Waarab dini zimetupumbaza... (ndio maana kuna watu wengine wanaishia kusema tu Mungu yupo full stop, the rest mtajua wenyewe)

It seem that authors of bible and quran ni wanaume.....(wanaume tumejipendelea sana kwenye hivi vitabu)
 
Hakuna kitu kama hicho ktk Uislamu, bali hizo ni propaganda na maigizo za wale makulumbembe ili kuhadaa walimwengu wasiojielewa ili wauchukie Uislamu. Na kutaka kuuchafua Uislamu vilevile.
Unahangaika kujitetea bure,uzuri tunaishi pamoja hivyo tunafahamiana kwa tabia zetu.Ukweli ni kwamba ndani ya uislamu kuna ukatili mwingi sana hasa kwa wanawake.

Umesahau kile kilichokua kitokee Nigeria miaka ile ambapo dada wa watu alikua apigwe mawe hadi kufa kisa kazini lakini aliyezini naye yeye anachapwa viboko tu.

Achiliambali hilo huku mitaani tunawaona mashekh wao ndio no 1 kwenye uganga wakienyeji,tunawaona wakifanya ramli na makafara mbalimbali.Tena wanajiita wao ni waganga wavitabu!

Ni waislam hao wanafundisha eti kuna majini wazuri na wabaya.

Kimsingi kunasiri
kubwa sana nyuma ya pazia ya
dini yakiislam.
 
Lakin mkuu hata Saudi Arabia tu wanawake si wanakatazwa kuendesha magari?, au na hii ni propaganda maana hili nilishuhudia mwanamke akikamatwa na police akiwa anaendesha gar. Sasa niambie din inazuia kuendesha gar?, na magari yalikuwepo enz za mtume?
Hayo ni mambo ya kisiasa lakini haya husiana na dini.
 
Back
Top Bottom