leo kama dk 5 zimepita nikiwa hapa barabara inayoelekea pepsi nimeshuhudia mwanamke mmoja akijifungua barabarani kwa msaada wa baadhi ya wafanyakazi wa pespi(wanawake) na wapita njia, ila amejifungua salama na sasa wamempeleka hsptal! Hv ni kweli m2 unafika siku kama hiyo alafu bado unazulula 2? Au tatizo ni nini?