pole sana wewe mama mzazi wa kiumbe hiki cha ajabu, ulibeba ujauzito kwa matumaini ya kupata mtoto lkn kwa bahati mbaya ukapata kiumbe cha aina hiyo, uckate tamaa ya maisha hayo ni mambo ya dunia tu,
kikubwa na kitu cha maana ni ujiulize au ujifunze ni nn au ni wapi ulikosea kipindi chote cha ujauzito,
fanya maombi sana,
angalia sana marafiki wako,
kuwa makini na vyakula kpnd cha ujauzito,
mwisho kbs ujipe nguvu na uendelee na maisha yako ya kawaida, ucjali sana kwani hayo yote ni mambo ya duniani