MWANAMKE ACHA UBOYA HEBU SHTUKA!

Nimefanyaje?
Mtuache na uzuri na makalio yetu.
Sio kosa langu...mshtakieni Allah aliyeniumba.
Na la mwisho, hakuna kaburi la aliyeolewa na asieolewa.
Yote yana misalaba na mawe au visahani.
Njoo inbox haraka.
 
Unafikiri kwa nn ukienda kutalii mbugani uwezi ondoka na mnyama ukampeleka nyumbani?

Kama una jibu basi fahamu kumpeleka mwanamke anaejivunia kua na umbo nzuri na sura nyumbani ni sawa na kumbeba mnyama pori na kumpeleka nyumbani wakati wenzio wanaishia kumtazama na kuondoka zao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudisha kwanza ile I'd yako ya zamani ndio unaweza kunishawishi
Hhhh mkuu ile nilichafua humu nikapigwa BAN ya nguvu.sasa kumbe ilikuwa BAN ya milele,nimesubiri wiki naona nikilog in inagoma sasa hapo nikaingia kwa email ingine.

Ile nimepigwa BAN mkuu niliharibu kszi na ilikuwa BAN ya milele.sasa nilipofungua hii BAADA YA ILE YA MWANZO HII NIMEONGEAZA "ER"
 
Ina maana ban ya milele haisameheki?
 
Misambwanda ni kama mgodi kwa mwana Apollo, we ukionesha kalio lako kwa nia ya wanaume walione maana yake unatafta kambale aje chezea tope,! Na kambale wa asili huwa haombi tackle, hujihudumia tu
 
Nimefanyaje?
Mtuache na uzuri na makalio yetu.
Sio kosa langu...mshtakieni Allah aliyeniumba.
Na la mwisho, hakuna kaburi la aliyeolewa na asieolewa.
Yote yana misalaba na mawe au visahani.
Tutamshtaki Mchina sio Sir God
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…