Wakati huo na wewe unaumia kimoyomoyo[emoji12] [emoji12]kuna wanaume wana midomo michafu utadhani septic tank!dawa ya mwanaume namna hii ni kutomwonyesha kama imekuuma baasi,ukidharau maneno yake atajiona mjinga!aumie kimoyomoyo asijionyeshe! Mara nyingi wanaume wa hivyo ni wale ambao mke anamzidi mime mf kielimu,kipato nknk.
Wakati huo na wewe unaumia kimoyomoyo[emoji12] [emoji12]
Mke amjibu huyo mwanaume ni gay sababu anaishi na mwanaume mwenzake.
Sasa hapo unaomba ushauli gani ndugu?mbona hayo ni mambo ya kutatulika tu tena kupitia akili ya huyo aloambiwa hayo maneno,kweni ukipuuza ujinga utaathirika nini?the way kuingilia mambo ya wanandoa utaaibika bule
Wakuu habari za jioni
Poleni na kazi za mchana kutwa,swala la dar kusimama kwa muda baada ya lowasa kwenda kuchukua fomu ya uraisi kwa ticket I ya ukawa
Kunajambo moja naomba mnisaidie ktk ndoa kuna mambo mengi,inabidi kuvumiliana tuu,
Kuna mwanaume mmoja kamwambia mke wake (wewe ni mwanaume,huna kauli za kike)wana watt 2 hilo neno limemuuma sana huyu dada,naomba ushauri wenu
Mke amjibu huyo mwanaume ni gay sababu anaishi na mwanaume mwenzake.
Mke amjibu huyo mwanaume ni gay sababu anaishi na mwanaume mwenzake.
Wakuu habari za jioni,
Poleni na kazi za mchana kutwa,swala la dar kusimama kwa muda baada ya lowasa kwenda kuchukua fomu ya urais kwa ticket ya UKAWA.
Kunajambo moja naomba mnisaidie katika ndoa kuna mambo mengi,inabidi kuvumiliana tuu,kuna mwanaume mmoja kamwambia mke wake (wewe ni mwanaume,huna kauli za kike)wana watoto 2 hilo neno limemuuma sana huyu dada.
Naomba ushauri wenu