Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Kumbe sababu kubwa kuna jarida liliandika ni kwa sababu Will anamyanyasa sana mdogo wake bullying
Ila wamekanusha hao ndugu na kusema ni uongo wa waandishi
Media wabaya sana


Sent from my iPhone using Tapatalk



Bullying ...kuwa kaoa mweusi au???
 
Wanahabari wanajua kukuza jambo tena ukute jambo lenyewe litaleta hamaki wanalisimamia haswa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wana habari wanatafuta kuuza magazeti kwa kila story
Nakumbuka walimwandama Malkia wakati Di alipofariki na kutaka ukweli
Kwa mara ya kwanza nikaona queen amekasirika sana na kutoa onyo tena kwenye National Tv na kusema watashughulikiwa na kupotezwa watakaoendeleza Haya mambo
Tangu siku hiyo wakamkoma



Sent from my iPhone using Tapatalk
 


Naona hapo Harry anataka kuchomoa battery mazima..hasipoonekana basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…