Mwanakwaya afa baada ya kutoa sadaka ibadani

Mwanakwaya afa baada ya kutoa sadaka ibadani

Poleni wafiwa. Ila waandishi wa habari wa siku hizi hamko makini na kazi zenu. kichwa cha habari kinasema kafa baada ya kutoa sadaka. maelezo yanasema baada ya kutoa sadaka alirudi sehemu yake na kuanza kuimba ndipo akaanguka.
 
RIP Beatrice, ila waandishi wajitahidi kuuliza Katekisa haadhimishi misa takatifu isipokuwa anaongoza ibada. Misa takatifu inaadhimishwa na Padre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa ya daktari inasemaje juu ya chanzo cha kifo chake? Kuna uhusiano gani kati ya kutoa sadaka na kifo hicho? Je, kwenye Biblia kuna mfano kama huo?

Huyo Katekista alikuwa anaongoza Misa Takatifu au kwaya?

RIP.
 
Back
Top Bottom