strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Tatizo la matakfiri ndilo hilo yani wao wakiuawa wanalilia ila wao kiuwa basi wanafurahi
Totally asymmetrical warfare. 500 Palestinians death againsts 15 Israels.
mi sijaelewaha ha ha ha ha israel waoga sana.wanapigana huku wanatetemeka.uwezo wao unaishia kwenye mindege yao tu.Ground battle wanalia mpaka sasa.
ha ha ha ha ha israel waoga sana.wanapigana huku wanatetemeka.uwezo wao unaishia kwenye mindege yao tu.Ground battle wanalia mpaka sasa.
israel wil not give up untill they pay
Israel imeonyesha uwezo mdogo kwa hamas kwani mpaka leo asubuhi bbc wamesema tayari wanajeshi 18 waisraeli wameuwawa kwenye uwanja wa mapambano. Ikumbukwe kuwa hamas wamewekewa vikwazo vya kuuziwa silaha tofauti na israeli. Hawa ni wanamgambo si jeshi. Kitu kingine hamas hawataki kuuwa raia waisaeli tofauti na israeli kwao ni sawa kuuwa raia au mwanamgambo hakuna tofauti. Katibu mkuu b.moon ameitaka israeli kukomesha mara mashambulizi yake ambayo yanatarget civilians.
Yale maroketi yanayorushwa Israel kumbe yana uwezo wa kutenganisha raia na wanajeshi! Kweli teknolojia imekua
israel wanalipua majumba watu wanafia humo,hamas wanapigana ana kwa ana wanawamaliza commandoo 18.
Wapalestina wanauawa wakiwa wamelala usingizi.
chezeeni kwingine siyo israel, waulize waarabu wenzio yanayowakuta!!!!!
Sent from my iphone using jamiiforums app
ha ha ha ha ha israel waoga sana.wanapigana huku wanatetemeka.uwezo wao unaishia kwenye mindege yao tu.Ground battle wanalia mpaka sasa.
tatizo la muisrael ni kwamba....! mkimuua wake mmoja anakuja kuua wenu 600