Mwanajeshi kizimbani: Kapteni wa JWTZ apandishwa kizimbani kwa kosa la kutaka kuua

Kila mtu anaukichaa ila ukichaa utokea kwa nyakati. Binafsi siwapendi baadhi Trafick kabisa, wapo barabarani kuonyesha wao ni bwana wakubwa. Kuna trafick barabarani eti ananiambie ndio nimebarehe mbele ya mama mkwe na kejeri nyingi. Hivi kama niwewe unamfanyaje hapo? Niliondoka lakini mpaka leo huwa naumia sana.
Dah Hizi sasa dharau
 
Back
Top Bottom