Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 May 19, 2014 #1 Kijana mmoja amekamatwa mkoani Tabora akiwa na sare za Jwtz na kuzitumia sare hizo ktk matukio mbalimbali ya kihalifu. Wakati huohuo mtu mwengine amekamatwa mkoani humo akiwa na risasi 300 za silaha aina ya SMG. #startv habari.
Kijana mmoja amekamatwa mkoani Tabora akiwa na sare za Jwtz na kuzitumia sare hizo ktk matukio mbalimbali ya kihalifu. Wakati huohuo mtu mwengine amekamatwa mkoani humo akiwa na risasi 300 za silaha aina ya SMG. #startv habari.
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 May 19, 2014 #2 Tz imekuwa na matukio mbali mbali ambayo kwa sasa kama ni ya kawaida tu hayashangazi tena. 🔫
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 19, 2014 #3 Kazi ipo.... Watu wameweka kama mtajii
F fiter JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 1,144 Reaction score 79 May 19, 2014 #4 helo helo tz, helo helo upendo wa kweli,kua mzalendo tz at 50 no comment........
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 May 19, 2014 #5 One SMG with 300 bullets. he can kill all stupid MPs.
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,104 Reaction score 357 May 19, 2014 #6 mkuu bategereza kama unafanya utani na comm yako!!!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 19, 2014 #7 Tusubiri President feki tu hapa
W wa home JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 233 Reaction score 41 May 19, 2014 #8 Bulldog said: Tusubiri President feki tu hapa Click to expand... tusubiri tena???. c yupo!!!
J JITABOY JF-Expert Member Joined Sep 2, 2013 Posts 254 Reaction score 35 May 19, 2014 #9 hapa tumebakza feck presdent
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 20, 2014 #10 wa home said: tusubiri tena???. c yupo!!! Click to expand... Anaitwa nani? Anakaa wapi