Kweli mapenzi hayana mbabe (nasikia hata mtu katili kama Adolph Hitrel alikuwa kama kondoo mbele ya demu wake)mtaani zikasambaa fununu kuwa mke wa mwanajeshi mmoja anatembeea na muuza nyama Buchani, taarifa zikamfikia mwenye mali (mwanajeshi) likapangwa fumanizi huku watu wa mtaa mzima tukisuburi kwa hamu kujua kitakachotokea baada ya mtego kunasa windo maana wengi huwa wanazijua vurugu za wanajeshi wanapoamua kufanya yao mtaani mtapigwa hata msiokuwemo.
Za mwizi ni arobaini jamaa muuza Nyama akaja mtegoni mwenyewe mali akiwa one man army na wapambe kwa mbali akavamia gesti walimokuwa wakifuskiana na kuwafumania, mwanajeshi alitembeza kipigo kizito sana kwa mgoni wake, yani ni kipigo kweli kweli kuliko hata cha wale watoto wanaojiita panyarodi waliokuwa wanawalaza saa mbili ucku wanaume wazima huko Dar es salaam
Cha kushangaza sasa baada ya wiki mbili kupita tunakuja kuckia kuwa yule mwanajeshi kapooza upande mmoja wa Mwili na watu wamebaki wanajiuliza kuwa kuna mkono wa mtu au ni kutokana na shambulio la moyo?
Mulugo -> Kawambwa -> ??? Ni janga kubwa sana
Yani wanawake sie nao jamani ptuuuuuuu!!!!
Yani wanawake sie nao jamani ptuuuuuuu!!!!
simamieni familia zenu! Fuatilieni maendeleo ya wanenu.Mulugo -> Kawambwa -> ??? Ni janga kubwa sana
Na kwako pia na wewe kama kawaida yako
Umeona eee
Heri weye umesema,,,"
Huyu mwanamke si angeacha na swala la ndoa akitembeze tu