Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,611
Reaction score
6,716
Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.


BnCDgQECMAEkZup.jpg:large
 
Mh kisheria sijui kama inaruhusiwa kumpiga raia sema kwa vile watz hatujui sheria kama ni akitafuta wanasheria wanaweza msaidia hakuna aliye juu ya sheria lakini kwa tz hilo linawezekana .
 
safi sana mbona sikuwa hapo nishabikie wanajifanya wababe sana
 
Wametafuta balaa hao lets wait and see
 
Mkuu wa utekelezaji wa kazi serikalini alisema wapigwe tu!!! Acha walane wao kwa wao, ndipo watajua utamu wa virungu na mabomu!!!
 
hamna ishu hapo huyo jamaa alikuwa anawatisha tu hao polisi. wala sio mwanajeshi huyo.
JUST MIKWALA TU.
 
Hehehe kama kweli ni Mwanajeshi kazi ipo.
 
aliyempiga anachapwa nao,aliyepigwa anachapwa nao wacha wachapane nao wao kwa wao...,
 
hamna ishu hapo huyo jamaa alikuwa anawatisha tu hao polisi. wala sio mwanajeshi huyo.
JUST MIKWALA TU.

Hiyo ndo BIG RESULTS NOW yaani Matokeo Makubwa sasa. Sasa kama kweli ni Mjeda ikifika Jioni ya Ijumaa tutakuwa tumesikia la kutokea, lakini kama ni Mkwala Nondo itakuwa imekula kwake huyo............
 
Mwanajeshi gani awe ---- hivyo? Yaani atolewe ktk gari apigwe katulia tu?
Huyo si mwanajeshi
 
Mwanajeshi gani awe ---- hivyo? Yaani atolewe ktk gari apigwe katulia tu? Huyo si mwanajeshi
wanajeshi kinachowapaisha ni ushirikiano wao tu, ila akiwa peke yake unaweza ukapita nae. NB: Usije ukajichanganya kwa komandoo
 
Back
Top Bottom