Mwanajeshi akutwa amekufa

Pole sana muu..Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..Aame.
 
Pole sana; wenzake watulie sheria ichukue mkondo maana siku hizi wanajeshi wana mtindo wa kwenda mtaani na kuwadunda watu ovyo.
 
Asanteni sana jamani,tuko pamoja
 
I am very sorry for your loss. Mungu akutie nguvu
 


pole mtanzania mwenzangu
 
Shukrani sana wakuu,tumeshampumzisha katika makazi yake ya milele maeneo ya mlandizi karibu na kambini,mungu ampumzishe kwa amani ma young brother
 
Cha muhimu ilibidi niangalie ni wapi(ILA SIO MAENEO YANGU YA KUJIDAI) maana jamaa lazima watarudi kulipiza kisasi
 
Pole sana mkuu. Nafuatilia hlo tukio maana limetokea ndan ya eneo langu la kazi..

Pole sana Gasper na rest in peace Patrick. Mkuu Nikas Mtei, tupatie update ya huu msiba. So sad
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…