GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,542
- 127,830
i
Mlevi tu huyo, akikushtukia atakufanya nini mtu kaisha kwa gongo huyo. Tena wapo wengi tu huko uswahilini wanalitia aibu jeshi, wao kutwa kushinda kwenye chibuku tu, sijui mazoezi wanafanya saa ngapi!
Ni kwamba kila mtu amekuwa mwandishi wa habari
Picha ya zamani sana hii,ameshastaafu huyo.
Kwani Ukistaafu Na Upuuzi Wako Uliokuwa Ukiufanya Nao Unastaafu?
mwingine huyu
Ni ushauri tu! toa hii picha
Kama Hawana Hela au Uwezo Huo Ulitaka Wanywe MKOJO Wako? Acha UPOPOMA.
Kulala ni upuuzi!
Nyie wakurya mnalitia aibu jeshi letu, kutwa kushinda kwenye chibuku na magwanda, kwani hamna nguo nyingine za kuvaa.
Sajenti kalala kizembe mno...
mwingine huyu
Weeeeh! gusa unate... hajalala huyo, ni trick tu.Eti 'mp' si unaweza kumbeba taratibu na kumfungia kwenye friji huyu?
Haswa Kwa Mjeda Tena MP. Acha UPOPOMA!
Wewe aulali!