Umeshindwa kujizuia chuki zako kwa Lissu, Lissu alisema Tz inapaswa kujifunza Kenya lakini alisema pamoja na matatizo makubwa Kenya waliyonayo. Hivyo hakuwasafisha 100%.Kenya si ndio tundu anasema kuko na demokrasia ya hali ya juu Sana kwa Africa?
Wanakosaje uvumilivu kwa mwanaharakati tena mwanamke?
Itakuwa umekosea huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka "Tanzania nchi iliyokosa demokrasia na haiheshimu haki za binadamu na inaongozwa na Rais wa ajabu kupata kutokea duniani".mwisho wa kunukuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki iko wapi?Umeshindwa kujizuia chuki zako kwa Lissu, Lissu alisema Tz inapaswa kujifunza Kenya lakini alisema pamoja na matatizo makubwa Kenya waliyonayo. Hivyo hakuwasafisha 100%.
Hawapo kabisa ndugu, itakuwa Tanzania Tu hiyo ndio inahusika na hilo suala...nchi yenye utawala mbovu na rais mbovu kupata kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu....Kenya nako kuna watu wasiojulikana. ..?
Real?Kenya kwa mambo haya ni normal kabisa.. Mungu asaidie apatikane akiwa hai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.. Kenya kwa mambo haya Tz inabidi tuna ngoja. Ata mauaji ya sababu za unyang'anyi ni mengi mno. Kuna jamaa wawili nawajua first hand walipoteza maisha kwenye mikono ya wakora Nairobi kwa nyakati tofauti.Real?
Kenya hii hii yenye ubora wa demokrasia Africa? Nahisi kuna nchi imeiambukiza si bure!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa kwetu tungeshika uchawi serikali.Mwaharakati wa Haki za Binadamu, Caroline Mwatha ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha
> Alijikita katika kuandaa makala ya kiuchunguzi kuhusu mauaji ya watu huko Dandora Kenya
> GAVANA wa Nairobi, Mike Sonko atoa ofa ya Shilingi za Kenya 300,000/ kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake
Watanzania basi tunawasifia Sana Kenya hasa hizi siku za ziara zetu huko ughaibuni kuomba tuangazwe upya kwa kuwa nchi yetu imeshakuwa jehanamu kwa kukosa demokrasia, utawala Bora na kutamalaki kwa kila ovu nchini, itakuwa tunafuata mkumbo wa buana yuleeee maana wakati mwingine kumuelewa mtanzania anataka nini sio kitu chepesi...Hapana.. Kenya kwa mambo haya Tz inabidi tuna ngoja. Ata mauaji ya sababu za unyang'anyi ni mengi mno. Kuna jamaa wawili nawajua first hand walipoteza maisha kwenye mikono ya wakora Nairobi kwa nyakati tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu ana kuchekea sana ogopa pia muogope mtu anae kununia sana.Watanzania basi tunawasifia Sana Kenya hasa hizi siku za ziara zetu huko ughaibuni kuomba tuangazwe upya kwa kuwa nchi yetu imeshakuwa jehanamu kwa kukosa demokrasia, utawala Bora na kutamalaki kwa kila ovu nchini, itakuwa tunafuata mkumbo wa buana yuleeee maana wakati mwingine kumuelewa mtanzania anataka nini sio kitu chepesi...
Sent using Jamii Forums mobile app
baKenya si ndio tundu anasema kuko na demokrasia ya hali ya juu Sana kwa Africa?
Wanakosaje uvumilivu kwa mwanaharakati tena mwanamke?
Itakuwa umekosea huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka "Tanzania nchi iliyokosa demokrasia na haiheshimu haki za binadamu na inaongozwa na Rais wa ajabu kupata kutokea duniani".mwisho wa kunukuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya haijawahi lingana na Tanzania hakika...basi tu kuna watafutao kushibisha matumbo na haja za mioyo yao kupitia kuuweka wazi utupu wa nchi yao, matatizo ya familia kimsingi humalizwa ndani ya familia kwa kumkaribisha jirani mwenye busara aje asuluhishe kwa busara zaidi huku familia ikiachwa salama na amani.kwamba kenya na tanzania idadi ni sawa,duuh kwa tukio hilo moja tayari washalingana na sisi.hivi nani mwanaharakati alipotea tanzania na serikali/GAVANA akatoa dongo nono?.
ba
Mwaharakati wa Haki za Binadamu, Caroline Mwatha ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha
> Alijikita katika kuandaa makala ya kiuchunguzi kuhusu mauaji ya watu huko Dandora Kenya
> GAVANA wa Nairobi, Mike Sonko atoa ofa ya Shilingi za Kenya 300,000/ kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake
Watanzania basi tunawasifia Sana Kenya hasa hizi siku za ziara zetu huko ughaibuni kuomba tuangazwe upya kwa kuwa nchi yetu imeshakuwa jehanamu kwa kukosa demokrasia, utawala Bora na kutamalaki kwa kila ovu nchini, itakuwa tunafuata mkumbo wa buana yuleeee maana wakati mwingine kumuelewa mtanzania anataka nini sio kitu chepesi...
Sent using Jamii Forums mobile app