Mwanaharakati Caroline Mwatha atoweka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Mwaharakati wa Haki za Binadamu, Caroline Mwatha ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

> Alijikita katika kuandaa makala ya kiuchunguzi kuhusu mauaji ya watu huko Dandora Kenya

> GAVANA wa Nairobi, Mike Sonko atoa ofa ya Shilingi za Kenya 300,000/ kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake
 
Kenya si ndio tundu anasema kuko na demokrasia ya hali ya juu Sana kwa Africa?
Wanakosaje uvumilivu kwa mwanaharakati tena mwanamke?
Itakuwa umekosea huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka "Tanzania nchi iliyokosa demokrasia na haiheshimu haki za binadamu na inaongozwa na Rais wa ajabu kupata kutokea duniani".mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa kujizuia chuki zako kwa Lissu, Lissu alisema Tz inapaswa kujifunza Kenya lakini alisema pamoja na matatizo makubwa Kenya waliyonayo. Hivyo hakuwasafisha 100%.
 
Chuki iko wapi?
Sasa si ni ukweli alisema?
Kunukuu Jambo alosema mtu ni chuki?
Huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka Tanzania kwenye nchi mbovu sio Kenya ambako Tanzania yapaswa kujifunza kutoka kwake!...Una hoja nyingine?
Usiniwekee maneno mdomoni tafadhali...nasisitiza nukuu tu mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real?
Kenya hii hii yenye ubora wa demokrasia Africa? Nahisi kuna nchi imeiambukiza si bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.. Kenya kwa mambo haya Tz inabidi tuna ngoja. Ata mauaji ya sababu za unyang'anyi ni mengi mno. Kuna jamaa wawili nawajua first hand walipoteza maisha kwenye mikono ya wakora Nairobi kwa nyakati tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaharakati wa Haki za Binadamu, Caroline Mwatha ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

> Alijikita katika kuandaa makala ya kiuchunguzi kuhusu mauaji ya watu huko Dandora Kenya

> GAVANA wa Nairobi, Mike Sonko atoa ofa ya Shilingi za Kenya 300,000/ kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake
Ingekuwa kwetu tungeshika uchawi serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana.. Kenya kwa mambo haya Tz inabidi tuna ngoja. Ata mauaji ya sababu za unyang'anyi ni mengi mno. Kuna jamaa wawili nawajua first hand walipoteza maisha kwenye mikono ya wakora Nairobi kwa nyakati tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania basi tunawasifia Sana Kenya hasa hizi siku za ziara zetu huko ughaibuni kuomba tuangazwe upya kwa kuwa nchi yetu imeshakuwa jehanamu kwa kukosa demokrasia, utawala Bora na kutamalaki kwa kila ovu nchini, itakuwa tunafuata mkumbo wa buana yuleeee maana wakati mwingine kumuelewa mtanzania anataka nini sio kitu chepesi...

Ukiona mtu ana kuchekea sana ogopa pia muogope mtu anae kununia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba kenya na tanzania idadi ni sawa,duuh kwa tukio hilo moja tayari washalingana na sisi.hivi nani mwanaharakati alipotea tanzania na serikali/GAVANA akatoa dongo nono?.
Kenya si ndio tundu anasema kuko na demokrasia ya hali ya juu Sana kwa Africa?
Wanakosaje uvumilivu kwa mwanaharakati tena mwanamke?
Itakuwa umekosea huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka "Tanzania nchi iliyokosa demokrasia na haiheshimu haki za binadamu na inaongozwa na Rais wa ajabu kupata kutokea duniani".mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ba
 
kwamba kenya na tanzania idadi ni sawa,duuh kwa tukio hilo moja tayari washalingana na sisi.hivi nani mwanaharakati alipotea tanzania na serikali/GAVANA akatoa dongo nono?.

ba
Kenya haijawahi lingana na Tanzania hakika...basi tu kuna watafutao kushibisha matumbo na haja za mioyo yao kupitia kuuweka wazi utupu wa nchi yao, matatizo ya familia kimsingi humalizwa ndani ya familia kwa kumkaribisha jirani mwenye busara aje asuluhishe kwa busara zaidi huku familia ikiachwa salama na amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaharakati wa Haki za Binadamu, Caroline Mwatha ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

> Alijikita katika kuandaa makala ya kiuchunguzi kuhusu mauaji ya watu huko Dandora Kenya

> GAVANA wa Nairobi, Mike Sonko atoa ofa ya Shilingi za Kenya 300,000/ kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake

Waone wakenya tu wanakuchekea, wakikukiteka kukurudisha ni habari nyingine, wakina Ouko waliteswa sana, yule Bwana wa tume kipindi kabla ya uchaguzi aliteswa sana, this is what is called horror country
 
Kenya usijaribu kabisa kugusa maslahi ya watu watakufyekelea mbali hata jivu lako lisionekane.. Hawana masihara wale. Ile ni nchi ya kibepari miaka mingi

George saitoti

Jacob Juma

Aboud

Yebei

'Askof' Muge

Ouko

Thom mboya...

Makaburi

Rogo.

Msando

Kenya ni mafia state.
 
yakiwashinda mambo maovu mnayatupia Tanzania. ilajambo la sifa ni lenu, mtapata tabu Sana
Watanzania basi tunawasifia Sana Kenya hasa hizi siku za ziara zetu huko ughaibuni kuomba tuangazwe upya kwa kuwa nchi yetu imeshakuwa jehanamu kwa kukosa demokrasia, utawala Bora na kutamalaki kwa kila ovu nchini, itakuwa tunafuata mkumbo wa buana yuleeee maana wakati mwingine kumuelewa mtanzania anataka nini sio kitu chepesi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom