Mwanahalisi litasalimika kweli?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Mwanahalisi la Jumatatu,March 28-April 3,2016 toleo no.332 limeandika habari za Escrow chini ya kichwa cha habari: "Siri za Kikwete,IPTL zafichuka".

Kwa yaliyoandikwa hili gazeti litaepuka kifungo?

Tafuta gazeti usome mwenyewe hiyo habari.
 
Wamekulipa shilling ngapi, kwa kulipa airtime Hilo jarida ? Usisahau kulipa kodi, utatumbiliwa mwanawane nheee!!!
 
Mwanahalisi la Jumatatu,March 28-April 3,2016 toleo no.332 limeandika habari za Escrow chini ya kichwa cha habari: "Siri za Kikwete,IPTL zafichuka".

Kwa yaliyoandikwa hili gazeti litaepuka kifungo?

Kwa mfano,mwandishi anasema:Mabilioni ya shilingi yalichotwa katika akaunti ya Escrow,ndani ya Benki Kuu(BOT),yalitoroshewa nchini Austria kupitia Afrka kusini na Dubai."

Katika sehemu nyingine gazeti linaripoti: "Vyanzo vya taarifa kutoka serikalini na Ikulu vinasema, Sethi alitoa rushwa kila mahali,ikiwamo Ikulu,ili kufunikisha mpango wake huo."

Habari hii ni ndefu tafuta gazeti husika ujisomee mwenyewe.
Unalipigia promo ili linunuliwe? Lakini naamini kama yameandikwa hayo ni ya kweli kwa nini uwe na hofu ya kufungiwa mkuu? Kama wameandika propaganda zisizo na ukweli natumai Waziri Nape hatafumbia macho hilo ujue. Kama ni ya kweli mbele ya serikali hii kufungiwa czan.
 
Mwanahalisi la Jumatatu,March 28-April 3,2016 toleo no.332 limeandika habari za Escrow chini ya kichwa cha habari: "Siri za Kikwete,IPTL zafichuka".

Kwa yaliyoandikwa hili gazeti litaepuka kifungo?

Tafuta gazeti usome mwenyewe hiyo habari.
Huu ni mtihani kwa Magufuli atuthibitishie kwa vitendo kwamba yeye ndio ajaye, otherwise aache kutuomba tumuombee kwa Mungu, Mungu wangu hapendi wanafki.
 
UKWELI utabaki kuwa MWANAHALISI hana jipya...ngoja JK ahamie UPINZANI alafu tumuambie atupe hzo siri.
 
Haha.. magufuli ana changamoto, ikizingatiwa waziri wake ni nape. Kazi imeanza jpm na serikali yake wa naanza pata mvinyo wa upinzani. Wataanza jazba bila Mwisho.
 
Back
Top Bottom