TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

Serikali imewaambia watu wake Corona haipo, kwa kauli hiyo ni sawa na kuwaambia watu wawe loose na wasiwe na sababu yeyote ya kuchukua tahadhari. Hili mbona simple tu jamaa wala halihitaji cheti cha std 7.Hivi kukiri udhaifu kuna shida gani
Wewe kama unaamini corona ipo vaa chukua tahadhali wewe binafsi! Siyo kila siku unajiachia kariakoo huku unalalama unataka mpaka selikali ikwambie
 
Umeshudia wagonjwa wangapi wakiwa hospitali na wangapi wamekufa?
 
Kwa maana 99% ya watanzania ni Majuha, wanasikiliza Rais, Padre, Sheikh kasema nini nao wanafuata! To "me" and "you" haina shida, I know my way out of all this. Huyu mtu wa Brazil Mungu atamuangamiza kama wanavyoangamia wasio na hatia kwa kumsikiliza
Mungu siyo Amsterdam ndio maana kila ombi lenu linatupwa kapuni
 
hawahesabiki mkuu
Ok.. Nilifikiri unatakwimu kama zile za USA maana pamoja na kuwa ndio taifa linaloongoza kwa vifo ila idadi inajulikana,

Sasa kama hapa kwetu haihesabiki kuna uwezekano huko mitaani ni mizoga tupu
 
Hivi kuhusisha kila kifo na Covid19 bila taarifa au udhibitisho wowote, unahisi ni matumizi sahihi ya akili zako?
Serikali ijitokeze wazi iseme nin kinatokea kwa vifo vya ghafla namna hii na wanaokufa wanadalili za corona, kwann watu wasiseme ni corona hata kama sio korona.
 
Ndugu ndio tusome kati ya mistari kuwa.........ama?
lakini pia angalia, tulivyo hovyo wapo watakaosema unapotosha.
 
Pumzika kwa Amani Prudence
 
Wakati huu kila mtu anayekufa ni Corona, kana kwamba kabla ya Corona hakukuwa na vifo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…