Google km lilivyo utapata solutionStructure design.
A timber beam with an effective span 2.0m supports a uniformly distributed load of 4KN/m. If the width of beam is 50mm and the allowable bearing stress parallel to grain is 7N/mm square. What is the depth of the beam .
ukiondoa hewa kwenye kopo pressure iliyopo ndani ya kopo hupungua au kuisha na kubaki tupu. kwa hiyo mgandamizo wa hewa ya nje huwa mkubwa kuliko mgandamizo wa hewa kwenye kopo, hivyo kulifanya kopo lisinyae au lijikunje kwa ndani.Kwanini ukichukua kopo mfano kopo la dasani tupu ukaanza kuvuta hewa (kwa mdomo) iliyomo ndani ya kopo hilo kopo hujikunja...?
na vipi ukifanya hivyo kwenye chumba kilichopigwa sild na kuacha upenyo mdogo wa kuivuta hewa ya ndani vp na chenyewe kitajikunja..?ukiondoa hewa kwenye kopo pressure iliyopo ndani ya kopo hupungua au kuisha na kubaki tupu. kwa hiyo mgandamizo wa hewa ya nje huwa mkubwa kuliko mgandamizo wa hewa kwenye kopo, hivyo kulifanya kopo lisinyae au lijikunje kwa ndani.
ukitoa hewa kwenye strong or rigid body utatengeneza kitu kinachoitwa vacuum sio vyote vina collapsena vipi ukifanya hivyo kwenye chumba kilichopigwa sild na kuacha upenyo mdogo wa kuivuta hewa ya ndani vp na chenyewe kitajikunja..?
Inawezekana kutengeneza kitu ambacho ni vacuum? Kiuhalisia or it's just an imagination?ukitoa hewa kwenye strong or rigid body utatengeneza kitu kinachoitwa vacuum sio vyote vina collapse
zinatengenezwa vacuum nyingi tu hususani makaburi ya watu maarufu huzikwaInawezekana kutengeneza kitu ambacho ni vacuum? Kiuhalisia or it's just an imagination?
Mimi nina swali la Chemistry mkuu japo linaweza kuwa sio la chuo kikuu,ni hivii kuna wale watu wanakaaga chini ya maji na kufanya utafiti kwa marine organisms,hao watu huwa wanabeba mitungi ya gesi mgongoni ya kuwasaidia kupumua.chemistry nipo hapa swali lolote 1-chuo kikuu
mkuu Cc tpaul:Wakuu naona kuna haja ya walimu kujipambanua ili wanafunzi/wenye maswali watupie kwa walimu husika. Mimi najipambanua kama mwalimu wa Chemistry, Biology & Geography kwa O~level. Tupia swali lolote la masomo haya upewe majawabu haraka. Usisahau kuQUOTE au kuMENTION jina la mwalimu ili mwalimu apate notification. Asante sana.
asante kwa swali zuri mkuu. kwa heshima na taadhima swali lako nalielekeza kwa mwalimu yeyote wa geography aliyemo humu jamvini. karibu wanageografia mumsaidie mkuu huyu.mkuu Cc tpaul:
Kwanza, Naomba unisaidie kujua ni theory (kwasababu haijathibitishwa) ipi inayoelezea haswa chanzo cha dunia hii na yenye mantiki kabisa mpaka iaminiwe?
Pili, Ni ushahidi upi unaoonesha KWELI kuwa kuna sayari 9 na zimepangana kuanzia Mercury,Venus,Earth n.k? Ni nani alithibitisha mpaka sisi watu weusi tulio nyuma sana kisayansi tukaamini?
Tatu,chanzo cha jua ni nini? Na ni kweli jua lina compositions ya elements kama Helium?
Msaada tafadhali hayo maswali yananifikirishaga sana na yananifanyaga nisiamini katika sayansi kweli.
The realization of child rights is far to be reached because the international standards leave room for ineffective protection and promotion of the said rights. Argue in support of this statement
Napenda kujua inakuaje ukienda kwenye hizi mashine za kukamulia mfano alizeti ukinunua Lita 20 wanapima kwenye ile mizani ya magunia jeeh hapo hamna ufisadi kweli..nimeshuhudia Mara nyingi hiki kitendo kama kuna wanunuzi was mafuta ya alizeti watakuwa mashahidilita ni volume huwezi kuibadilisha moja kwa moja kua kilo mpaka uwe na density ya iyo liquid na utatumia
mass =density *volume
lakini liter utaichenge into m^3
They were climbing a tree.Naomba nisaidiwe kuibadili iyo sentence kuwa katka past tense 'they are climbing a tree
nahtaji notice nzur na bora za kueleweka za survey na research msaada plze