Mwanafunzi wangu ananitishia maisha

Kama upo na tuition center hama haraka. Mimi pia nimesomea na nimewahi kuwa mwalimu ishara kama hizo ziilpojitokeza nilihama haraka. Funga center yako badili namba zako kimya kimya hama mtaa mkuu, utakuja kunishukuru siku nyengine utapojaliwa.
 
Ni kawaida kwa watoto wanapofikia kuvunja ungo na kubalehe!
 
[emoji121]
MIMI NI MWALIMU MZURI WA BAIOLOJIA, KEMIA NA FIZIKIA,

NIMEKUFAULISHA VIJANA WENGI WA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA,

NINA NIDHAMU YA KAZI NA NIMEJENGEKA KIMAADILI.

NISOGEZEE HUYO BINTI NIMSAIDIE KIMASOMO NA KISAIKOLOJIA.

MIMI NI KIJANA MWEMA KABISA,
NI_PM NAMBA YA SIMU YA HUYO BINTI FASTA TULIMALIZE TATIZO MKUU.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kama upo na tuition center hama haraka. Mimi pia nimesomea na nimewahi kuwa mwalimu ishara kama hizo ziilpojitokeza nilihama haraka. Funga center yako badili namba zako kimya kimya hama mtaa mkuu, utakuja kunishukuru siku nyengine utapojaliwa.
Mkuu, mtu ahame hadi sehemu ya kupatia mkate kwa sababu ya mtoto mdogo, hivi hujui kupata sehemu ya kuanzisha kituo ni ngumu, je unajua ni kiasi gani kituo chake kimesha jitangaza kwa kiwango gani, abadili namba ya simu ambayo pengine ni njia ya kumuingizia mkate kwa ajili ya mtoto ambaye anapevuka tu,? Mwalimu huyo binti naamini hajakushinda kumthibiti, mkanye au mripoti kwa wazazi wake au mripoti kwenye uongozi unakoishi na ikishindikana mripoti polisi ili wewe ukae salama hata akiendeleza ujinga wake.
 
Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake kwani wote wataingia shimoni..........

Think big take control of your destiny
 

Mkuu vyooote hivyo ulivyotaja na kwenda jela bora nini?
 
Una nyota ya nyampala.

Hata ukiwaambia wazazi wake, haitasaidia. Achana nao, ishi maisha yako.
hahaaa nyota ya nyampala...mkuu itakuwa alishikana mkono na babu seya huyo
 
mpe
dyu dyuuuu ... dyu dyuu taaaamuuuuu


unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke


na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
hahaaa nyota ya nyampala...mkuu itakuwa alishikana mkono na babu seya huyo
Jela kama ipo, ipo tu. Utaenda hata kwa kesi ya kusingiziwa.
Una nyota ya nyampala.

Hata ukiwaambia wazazi wake, haitasaidia. Achana nao, ishi maisha yako.
Mkuu una miaka mingapi?ninekuuliza ili kabla ya ushauri nifanye mahesabu yangu kwanza ndiyo nitoe ushauri wa muhimu utakaokusaidia maishani.

Nijibu tafadhali kama hutajali.
Jiongeze mkuu mtoto ana ugwadu huyo kama vip mgwadue
Ongea na wazazi wake kabla hajakuletea balaa
Mwambie barua yako na meseji zako nimezihifadhi, na ukiendelea kunivunjia heshima nitakuripoti kwa wazazi wako.
wenzako tunapelekwa sero kwa kudakwa na Gomba sasa ww unapelekwa kwa kumtia mwanafunzi Mimba wakati mtaani kuna wasichana kibao ambao sio wanafunzi
She is in adolescent..hatua za ukuaji zinamchanganya..be care.jela miaka 30 inakutafuta
MKUU HIZI NDIO MOTISHA ZENYEWE.UKISUBIRI MOTISHA ZA MKULU UTAZEEKEA KAZINI
huyo ni shetani anataka kukuingiza mtegoni kaka....jela ipo na nisehemu mbaya...furahia Uhuru wako achana na huyo mwanafunzi itaja juta one day
Ww unamatope kichwani
Hapo akiteleza tuu, jera inampokea bila huruma
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke


na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Kinacho endelea juu yako ni muendelezo tu wa Kungonoka, kati ya Wanafunzi na Walimu and vice versa...!

Mimi ni mzazi tu, ila yangu Macho..
 
Pole mkuu, nenda nae kiakili tuu,
Mi kuna ambae alienda kunisemea hadi kwa mama yake, lkn mama yake alielewa tukayaweka sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…