For sure ni ngumu kumuelewa licha ya kumdhania, lakini ndo keshajitoa kimasomaso!
Nihivi;
Huyu binti ni mwanafunzi anayesoma katika shule moja ya high profile huko Kilimanjaro. Kwa sasa anaingia kidato cha nne mwakani.
Ni binti wa wazazi washika dini na hata yeye muda wote utamkuta katika religious attire.
Toka akianza shule kidato cha kwanza nimehusika sana kumfundisha masomo ya sayansi pamoja na wenzake, na kweli nashukuru hawajawahi kuniangusha. Naweza kusema ndio masomo wameonesha kuyafanya vizuri sana kwa wakati wote.
Lakini juzi Waliporudi likizo (sikuwahi kudhania), kaja na kituko cha mwaka! Mara nakumiss sana teacher, mara aje ofisini kwangu (mimi kiajira sio mwalimu) kwamba ameomba ruhusa kwao aje mara moja kuna clarification ya somo anahitaji kwangu, na anaruhusiwa kwa kuwa wazazi wananiamini sana. Ukimuulizi wala hakuulizi cha maana ni blablaa tu!
Hali hii iliendelea mwishowe akaniandikia barua ndefu sana kuhusu how she feels me, ukiisoma huwezi amini ni binti from house of prayers and worship ameandika! But sikumjibu.
Hakuishia hapo, kaja na intimidations juzi kati kwa kuniface, kuwa yuko tayari kufanya lolote ikiwa sitakubali ombi lake. Quickly nilimuambia ombi lake nimelipokea, nimelikubali, lakini embu kwanza amalize masomo then tutayapanga. Njia ya kumtoa kwenye mstari, nikamwacha na dereva wao nikaondoka.
Lakini hata pamoja na hilo bado hajakubali na usumbufu umeongezeka mara dufu kwa simu na meseji nyingi za kutaka tukutane "tuongee basi" lakini kwa faragha japo tu hagi tuu.
Nimekata daràsa toka tarehe 22 kwamba niko safarini. Japo anasema kaambiwa nipo na wazazi wake kawaeleza udhuru wangu ni wa uwongo, nipo.
Nimefikiri sijui nimuarifu baba yake kiutu uzima kuhusu jambo hili, nasita.
Nimeamua kuachana na msaada wa tuisheni, natafutwa na binti na wazazi. Kazi ninayo ya kuwaza na kuwazua

Wacha kupotosha!MKUU HIZI NDIO MOTISHA ZENYEWE.UKISUBIRI MOTISHA ZA MKULU UTAZEEKEA KAZINI
Mkuu, mtu ahame hadi sehemu ya kupatia mkate kwa sababu ya mtoto mdogo, hivi hujui kupata sehemu ya kuanzisha kituo ni ngumu, je unajua ni kiasi gani kituo chake kimesha jitangaza kwa kiwango gani, abadili namba ya simu ambayo pengine ni njia ya kumuingizia mkate kwa ajili ya mtoto ambaye anapevuka tu,? Mwalimu huyo binti naamini hajakushinda kumthibiti, mkanye au mripoti kwa wazazi wake au mripoti kwenye uongozi unakoishi na ikishindikana mripoti polisi ili wewe ukae salama hata akiendeleza ujinga wake.Kama upo na tuition center hama haraka. Mimi pia nimesomea na nimewahi kuwa mwalimu ishara kama hizo ziilpojitokeza nilihama haraka. Funga center yako badili namba zako kimya kimya hama mtaa mkuu, utakuja kunishukuru siku nyengine utapojaliwa.
Mkuu, mtu ahame hadi sehemu ya kupatia mkate kwa sababu ya mtoto mdogo, hivi hujui kupata sehemu ya kuanzisha kituo ni ngumu, je unajua ni kiasi gani kituo chake kimesha jitangaza kwa kiwango gani, abadili namba ya simu ambayo pengine ni njia ya kumuingizia mkate kwa ajili ya mtoto ambaye anapevuka tu,? Mwalimu huyo binti naamini hajakushinda kumthibiti, mkanye au mripoti kwa wazazi wake au mripoti kwenye uongozi unakoishi na ikishindikana mripoti polisi ili wewe ukae salama hata akiendeleza ujinga wake.
wewe mjaze chai mwenzio Kisha mwisho wasiku ajikute segerea ama kekoMKUU HIZI NDIO MOTISHA ZENYEWE.UKISUBIRI MOTISHA ZA MKULU UTAZEEKEA KAZINI
hahaaa nyota ya nyampala...mkuu itakuwa alishikana mkono na babu seya huyoUna nyota ya nyampala.
Hata ukiwaambia wazazi wake, haitasaidia. Achana nao, ishi maisha yako.
dyu dyuuuu ... dyu dyuu taaaamuuuuuFor sure ni ngumu kumuelewa licha ya kumdhania, lakini ndo keshajitoa kimasomaso!
Nihivi;
Huyu binti ni mwanafunzi anayesoma katika shule moja ya high profile huko Kilimanjaro. Kwa sasa anaingia kidato cha nne mwakani.
Ni binti wa wazazi washika dini na hata yeye muda wote utamkuta katika religious attire.
Toka akianza shule kidato cha kwanza nimehusika sana kumfundisha masomo ya sayansi pamoja na wenzake, na kweli nashukuru hawajawahi kuniangusha. Naweza kusema ndio masomo wameonesha kuyafanya vizuri sana kwa wakati wote.
Lakini juzi Waliporudi likizo (sikuwahi kudhania), kaja na kituko cha mwaka! Mara nakumiss sana teacher, mara aje ofisini kwangu (mimi kiajira sio mwalimu) kwamba ameomba ruhusa kwao aje mara moja kuna clarification ya somo anahitaji kwangu, na anaruhusiwa kwa kuwa wazazi wananiamini sana. Ukimuulizi wala hakuulizi cha maana ni blablaa tu!
Hali hii iliendelea mwishowe akaniandikia barua ndefu sana kuhusu how she feels me, ukiisoma huwezi amini ni binti from house of prayers and worship ameandika! But sikumjibu.
Hakuishia hapo, kaja na intimidations juzi kati kwa kuniface, kuwa yuko tayari kufanya lolote ikiwa sitakubali ombi lake. Quickly nilimuambia ombi lake nimelipokea, nimelikubali, lakini embu kwanza amalize masomo then tutayapanga. Njia ya kumtoa kwenye mstari, nikamwacha na dereva wao nikaondoka.
Lakini hata pamoja na hilo bado hajakubali na usumbufu umeongezeka mara dufu kwa simu na meseji nyingi za kutaka tukutane "tuongee basi" lakini kwa faragha japo tu hagi tuu.
Nimekata daràsa toka tarehe 22 kwamba niko safarini. Japo anasema kaambiwa nipo na wazazi wake kawaeleza udhuru wangu ni wa uwongo, nipo.
Nimefikiri sijui nimuarifu baba yake kiutu uzima kuhusu jambo hili, nasita.
Nimeamua kuachana na msaada wa tuisheni, natafutwa na binti na wazazi. Kazi ninayo ya kuwaza na kuwazua
jela 30
hahaaa nyota ya nyampala...mkuu itakuwa alishikana mkono na babu seya huyo
Jela kama ipo, ipo tu. Utaenda hata kwa kesi ya kusingiziwa.
Una nyota ya nyampala.
Hata ukiwaambia wazazi wake, haitasaidia. Achana nao, ishi maisha yako.
Mkuu una miaka mingapi?ninekuuliza ili kabla ya ushauri nifanye mahesabu yangu kwanza ndiyo nitoe ushauri wa muhimu utakaokusaidia maishani.
Nijibu tafadhali kama hutajali.
Jiongeze mkuu mtoto ana ugwadu huyo kama vip mgwadue
Ongea na wazazi wake kabla hajakuletea balaa
jamani
Mwambie barua yako na meseji zako nimezihifadhi, na ukiendelea kunivunjia heshima nitakuripoti kwa wazazi wako.
wenzako tunapelekwa sero kwa kudakwa na Gomba sasa ww unapelekwa kwa kumtia mwanafunzi Mimba wakati mtaani kuna wasichana kibao ambao sio wanafunzi
She is in adolescent..hatua za ukuaji zinamchanganya..be care.jela miaka 30 inakutafuta
Du mkuu hilo ni swala la kuli-handle kiutu uzima, wewe ni mkubwa kwake kiumri na kielimu ....hivi unafikiri walimu hawakumbani na hayo shuleni?? Je kila mtu angemchukulia hatua mwanafunzi za kinidhamu ingekuaje? Yapo hawasemi tu japo baadhi ndo wanawatafuna...
MKUU HIZI NDIO MOTISHA ZENYEWE.UKISUBIRI MOTISHA ZA MKULU UTAZEEKEA KAZINI
huyo ni shetani anataka kukuingiza mtegoni kaka....jela ipo na nisehemu mbaya...furahia Uhuru wako achana na huyo mwanafunzi itaja juta one day
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza MwanamkeWw unamatope kichwani
Hapo akiteleza tuu, jera inampokea bila huruma
Kinacho endelea juu yako ni muendelezo tu wa Kungonoka, kati ya Wanafunzi na Walimu and vice versa...!For sure ni ngumu kumuelewa licha ya kumdhania, lakini ndo keshajitoa kimasomaso!