Mwanafunzi wangu ananitishia maisha

Mwanafunzi wangu ananitishia maisha

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
For sure ni ngumu kumuelewa licha ya kumdhania, lakini ndo keshajitoa kimasomaso!

Nihivi;

Huyu binti ni mwanafunzi anayesoma katika shule moja ya high profile huko Kilimanjaro. Kwa sasa anaingia kidato cha nne mwakani.
Ni binti wa wazazi washika dini na hata yeye muda wote utamkuta katika religious attire.

Toka akianza shule kidato cha kwanza nimehusika sana kumfundisha masomo ya sayansi pamoja na wenzake, na kweli nashukuru hawajawahi kuniangusha. Naweza kusema ndio masomo wameonesha kuyafanya vizuri sana kwa wakati wote.

Lakini juzi Waliporudi likizo (sikuwahi kudhania), kaja na kituko cha mwaka! Mara nakumiss sana teacher, mara aje ofisini kwangu (mimi kiajira sio mwalimu) kwamba ameomba ruhusa kwao aje mara moja kuna clarification ya somo anahitaji kwangu, na anaruhusiwa kwa kuwa wazazi wananiamini sana. Ukimuulizi wala hakuulizi cha maana ni blablaa tu!

Hali hii iliendelea mwishowe akaniandikia barua ndefu sana kuhusu how she feels me, ukiisoma huwezi amini ni binti from house of prayers and worship ameandika! But sikumjibu.

Hakuishia hapo, kaja na intimidations juzi kati kwa kuniface, kuwa yuko tayari kufanya lolote ikiwa sitakubali ombi lake. Quickly nilimuambia ombi lake nimelipokea, nimelikubali, lakini embu kwanza amalize masomo then tutayapanga. Njia ya kumtoa kwenye mstari, nikamwacha na dereva wao nikaondoka.

Lakini hata pamoja na hilo bado hajakubali na usumbufu umeongezeka mara dufu kwa simu na meseji nyingi za kutaka tukutane "tuongee basi" lakini kwa faragha japo tu hagi tuu.

Nimekata daràsa toka tarehe 22 kwamba niko safarini. Japo anasema kaambiwa nipo na wazazi wake kawaeleza udhuru wangu ni wa uwongo, nipo.

Nimefikiri sijui nimuarifu baba yake kiutu uzima kuhusu jambo hili, nasita.
Nimeamua kuachana na msaada wa tuisheni, natafutwa na binti na wazazi. Kazi ninayo ya kuwaza na kuwazua
 
Kiduku_dance.jpg
 
Subiri wataalamu wa kudungua madenti waje huwa wanaushauri mzuri sana mojawapo watakuambia mdungue tuu
 
Du mkuu hilo ni swala la kuli-handle kiutu uzima, wewe ni mkubwa kwake kiumri na kielimu ....hivi unafikiri walimu hawakumbani na hayo shuleni?? Je kila mtu angemchukulia hatua mwanafunzi za kinidhamu ingekuaje? Yapo hawasemi tu japo baadhi ndo wanawatafuna...
 
She is in adolescent..hatua za ukuaji zinamchanganya..be care.jela miaka 30 inakutafuta
 
Huu mtihani mimi ningeambulia zero, kila la kheri mkuu...ufanye maamuzi yaliyo sahihi...
 
Jiongeze mkuu mtoto ana ugwadu huyo kama vip mgwadue
 
Mkuu una miaka mingapi?ninekuuliza ili kabla ya ushauri nifanye mahesabu yangu kwanza ndiyo nitoe ushauri wa muhimu utakaokusaidia maishani.

Nijibu tafadhali kama hutajali.
 
Una nyota ya nyampala.

Hata ukiwaambia wazazi wake, haitasaidia. Achana nao, ishi maisha yako.
 
Back
Top Bottom