Mwanafunzi wanasema chini ya miti kaliua

Toga

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
673
Reaction score
906
Kaliua TABORA NI kati ya halmashauri zilizo sahaurika sana kuna idadi kubwa sana ya mwanafunzi lakini vyumba vya madarasa hakuna kwa mfano Shule ya msingi majengo na ugansa zilizopo usinge mwanafunzi wanasomea nje chini ya moti hivi hawa watoto wanaelewa kweli naomba serikali iingalie hii wilaya IPO taabani sana kwenye suala la miundombinu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fair Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
 
Millioni hamsini kila kijiji ile ilikuwa kauli ya mlevi tu, Manake Pombe ikiwa kichwani humfanya binaadamu kutoa kauli za maajabu sana.
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Eti amechangia nini kuondoa hilo tatizo...Kodi anazochangia ni kwa ajili ya nini??or ni kwa ajili ya kulichangia lile jiziiii la chatto liendelee kutumia kodi zetu kutanua na watoto wa dada zake
 
Simu yako iseti vizuri sehamu ya prediction.
Tanzania tuko bize na vi-wonder, subirini mkulu aanzishe tukio la kuwaweka wanafunzi madarasani maana mwakajana tulikuwa bize na zoezi la kumweka mwanafunzi kwenye dawati na tulifanikiwa.
 
inapendeza, kufikia 2020 akili imejiseti upya. safi sana
 
Ivi zile ela za ile ndege zingeletwa huku mbona hii aibu tungekua hatuna??

Karne ya 21 mtu anasoma chini ya mti??
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Kilaza namba mbili nimeshampata.
Kazi ya serikali ni kumpa mwanafunzi haki zake ikiwemo na kumwekea mazingira mazuri ya kupata elimu. Serikali kumpatia mwanafunzi haki zake si ombi na wala si hisani bali ni sharti kama ilivyo kwa mzazi ni sharti ampe mwanae mahitaji yake.
Suala la yeye kuchangia ujenzi ni hiari yake na wala hapaswi kulaumiwa kwakuwa si jukumu lake.
Somo la haki za binadamu na sheria ni vyema lifundishwe kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu maana wengi hawajui haki wala wajibu wao.
 
Ccm ni ile ile walishasema! Miaka 50 ya uhuru hoyeee!
 
Tulia kwanza tunaijenga chato iwe kama Dubai
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Arusha kwenye chimbuko la upinzani ingekuwa na wapumbavu kama wewe sijui ingekuwaje leo

Iko hivo kwa sababu ya wana arusha wenyewe boya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Huwa nawapuuza watu kama nyie zero brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz tutaendelea kuwa maskini wa kutupwa chini ya hawa wakoloni weusi chichiem

Ova
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Analipa kodi....hata mafuta ya taa anayowashia kibatari kila lita tone linalipiwa kodi.
 
Majungu, bila shaka ww ni mwalim ktk shule mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…