Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

Anyway ni huzuni sana mi mwenyewe nitakuwa muangalifu manake mwenyewe nahusikaga sana na matukio ya utata bar.

Usigombane na mshona viatu na muuza chips ni watu hatari sana siku zote
 
Hii taarifa mpaka sasa imekaa kitetesi zaidi ngoja tuiache kwanza.
 
asante dear...nimerudi botswana last week dear..pole na wewe
 
thank u good people for yo messages and support...god bless
 
i real appreciate and am sure Shant is appreciating it as well wherever he is!asnteni sana
 
Daaah May God rest u in enternal piece mwaka sasa umepita tangu tuione sura yako mara ya mwisho.... i miss u my friend Shealtiely Mbise.. i wish ungekuwepo ila kazi yake mola haina makosa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…