linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
- Thread starter
-
- #41
bado hamjapata chanzo cha kuchomwa kisu??
Poleni sana kwa msiba.Anaitwa shealtiaely steven mbise..alikua mfanyakazi mwenzangu...may his soul rest in peace amen
Pole sana dadaMay yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...
Alichomwa kwa sababu gani
Kwa hiyo Makufuli naye ni UKAWA? Maana naye anatoka kaskazini!Kwa vile jina lake ni Mbise na hivyo anatoka Kaskazini therefore ni UKAWA? Umefikiaje conclusion kuwa marehemu alikuwa UKAWA?
Rip Mr. Mbise.
We nawe. Rudi ukasome elementary logic kwanza. Kama unataka kufikia conclusion ile ile hakikisha kwanza premises zote zimezingatiwa. Hiyo kutoka tu Kaskazini haitoshi. Nadhani premise mojawapo kuu ilikuwa ni jina la Marehemu i.e Mbise (Mbise => Kaskazini => UKAWA). Angekuwa anaitwa Makoye, Chacha au Mwanisongole sidhani kama hitimisho lingekuwa lile lile. Kwa hiyo conclusion yako ni moot!Kwa hiyo Makufuli naye ni UKAWA? Maana naye anatoka kaskazini!
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...
Nipo sahihi. Ukisema Nyerere, Wasira au Warioba, Magufuli, Kagasheki, Slaa, Mbowe, Lowassa, na hao akina Chacha, Makoye yote hiyo ni kaskazini ya Tanganyika. Ukisema Mkapa, Nandonde, Ngonyani, Komba, Ndunguru au Nchimbi yote hiyo ni Kusini mwa Tanganyika. Hiyo ndiyo Jiografia ya Tanganyika! Note: Hiyo kaskazini ina kaskazini mashariki na magharibi hiyo ya magharibi inapakana na Uganda na ya mashariki inapakana na Kenya. Lakini kwa ujumla wake kote huko ni kaskazini! Likewise kusini kuna Kusini mashariki na kusini magharibi kama Mbeya, Iringa na Rukwa. Na ukweli ni kuwa si watu wote wa kaskazini ni UKAWA! Kama ndivyo basi sema Jina la Mgombea i.e Magufuli (Magufuli = Kasakazini = UKAWA)We nawe. Rudi ukasome elementary logic kwanza. Kama unataka kufikia conclusion ile ile hakikisha kwanza premises zote zimezingatiwa. Hiyo kutoka tu Kaskazini haitoshi. Nadhani premise mojawapo kuu ilikuwa ni jina la Marehemu i.e Mbise (Mbise => Kaskazini => UKAWA). Angekuwa anaitwa Makoye, Chacha au Mwanisongole sidhani kama hitimisho lingekuwa lile lile. Kwa hiyo conclusion yako ni moot!
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...
Oooh Boy! Naungana na Eddo. Elimu! Elimu! Elimu! Elimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!:A S angry:Nipo sahihi. Ukisema Nyerere, Wasira au Warioba, Magufuli, Kagasheki, Slaa, Mbowe, Lowassa, na hao akina Chacha, Makoye yote hiyo ni kaskazini ya Tanganyika. Ukisema Mkapa, Nandonde, Ngonyani, Komba, Ndunguru au Nchimbi yote hiyo ni Kusini mwa Tanganyika. Hiyo ndiyo Jiografia ya Tanganyika! Note: Hiyo kaskazini ina kaskazini mashariki na magharibi hiyo ya magharibi inapakana na Uganda na ya mashariki inapakana na Kenya. Lakini kwa ujumla wake kote huko ni kaskazini! Likewise kusini kuna Kusini mashariki na kusini magharibi kama Mbeya, Iringa na Rukwa. Na ukweli ni kuwa si watu wote wa kaskazini ni UKAWA! Kama ndivyo basi sema Jina la Mgombea i.e Magufuli (Magufuli = Kasakazini = UKAWA)
Na kweli elimu itakusaidia sana. Siyo kuparamia mambo tu uliyokariri bila kuangalia context na mazingira. Nyie ndiyo mnafanya tafiti halafu mnatafsiri kwa kuzingatia mambo ya Ulaya zilikotoka nadharia husika matokeo yake tafiti zenu zinakuwa hazina faida yo yote kwa jamii. Kwa hili hata mimi naungana na Lowassa. Elimuuuuuuuuu!!! Tena Elimu ya kweli inayoendana na mazingira yetu na siyo hii ya kukariri Jiografia ya darasa la nne!Oooh Boy! Naungana na Eddo. Elimu! Elimu! Elimu! Elimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!:A S angry: