MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un.Ila itakuwa ilikuwa struggle ya aina gani kulikuwa hamna watu wa kutuliza jamani da!na hiyo stabbing ni kwenye moyo aaagh!Poleni sana wafiwa.Hayo ni majanga dabari dabari mi mwenyewe ni mtata sana kuanzia sasa nitaepuka confrotations.
Kwa vile jina lake ni Mbise na hivyo anatoka Kaskazini therefore ni UKAWA? Umefikiaje conclusion kuwa marehemu alikuwa UKAWA?
Rip Mr. Mbise.
Ni wazi kuwa wewe Unamfahamu lakini nilikuwa sikuulizi wewe. Nilikuwa namuuliza Mamndenyi ambaye alisema kuwa UKAWA tumepoteza kura moja tayari. Au Mamndenyi pia ni id yako nyingine?Hakuwa Ukawa alikuwa mpenda mabadiliko mwanaharakati... Nilikuwa nashare status zake fb coz zilikuwa za kiharakati ya mwisho niliishare tar 6/9 ilikuwa
Hii hapa
Ni wazi kuwa wewe Unamfahamu lakini nilikuwa sikuulizi wewe. Nilikuwa namuuliza Mamndenyi ambaye alisema kuwa UKAWA tumepoteza kura moja tayari. Au Mamndenyi pia ni id yako nyingine?
Anaitwa shealtiaely steven mbise..alikua mfanyakazi mwenzangu...may his soul rest in peace amen
Inahuzunisha sana ni homeboy wangu ka hustle sana na Elimu ili Ije implipe since Akeri, Ihungo, UoA na Udom
RIP Baba Steve!! Mungu ampe pumziko LA milele
machafuzi unit watakukumbuka
Mbayaaa, Apumzike salama.
Poleni wafiwa wote,
Poleni wote mlioguswa na msiba huo
..........Ukawa tumeshapoteza kura moja masikini.
Alimchoma kwa nyuma wakati akiondoka sehemu inaitwa wings pub Dodoma
Kwa vile jina lake ni Mbise na hivyo anatoka Kaskazini therefore ni UKAWA? Umefikiaje conclusion kuwa marehemu alikuwa UKAWA?
Rip Mr. Mbise.
acheni kugombea wanawake
Mkuu mchonganishiNope nmeamua kuweka mambo Sawa muelewe alikuwa mtu wa aina gani! maana with no time mtachafua hali ya hewa na siasa zenu humu. Wakati he lives and stands for truth kitu ambacho wanasiasa hawana!! Tuyaache haya tuenzi maisha ya ambitious young man yalikatizwa na ukatili wa binadamu!!
Mkuu mchonganishi
Mbise amezikwa wapi sanawari au?
Ulikuwepo kwenye mazishi? Wape pole sana hellen na ndugu yake.
Gone too soon. RIP Shanty.
Anazikwa leo saa Sita maeneo ya Nashooli Kikatiti Arusha
Asante mkuu. Natamani ningekuwepo kumzika Shanty wangu. Ila yote ni mema.
Ntmkumbuka daima. RIP Mbise