Mwanafunzi wa journalism anayeendelea na chuo

Mwanafunzi wa journalism anayeendelea na chuo

TECXM

Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
5
Reaction score
29
Hello,
Kuna idea ya app ya habari worldwide naifanyia kazi, ningependa kushirikiana na mtu wa journalism. Itakua vizuri kama atakua mwanafunzi anayejua kuandika english nzuri, mwenye computer yenye access ya internet. Kama unahisi unafit unaweza kunitumia ujumbe.
 
Back
Top Bottom